kataa ukubali hata maisha ya sasa ni ya mtandawazi...sio zamani utangoja utafutwe heri kujipost utapata wa kwendana nawe
2025-09-02 12:35:41
7
CHEETAH :
na vipi kuhusu wale wanaume ambao wenyewe ndowawaposti wake zao
2025-09-02 05:12:01
30
AblahAlkindy90 :
Maneno ya kweli,hekima,ukumbusho na yenye busara waallah …May Almighty Allah bless u with ur family 🤲🏼
2025-10-28 14:45:25
2
ISSAQ001 :
MWANAMKE MWENYE AIBU HAYA HAWEZI KABISA KUJIRIKODI NA KUJIRUSHA SOCIAL MEDIA
2025-09-02 00:29:28
70
MAMA AISHA :
ukweli kabsa maneno yko lkn mwaume bahili ni bahili tu kma uyu wangu hana uraibu ata tiktok hana lkn bahili ajabu🥺
2025-09-02 04:06:58
6
Ashraf Bayusuf :
wako kazi khui hata tiktok ina afadhali snap ndio noma wanatuma mpaka mapicha na videos ni standard hio khui
2025-10-26 04:26:15
1
maliamu Hassani :
Na Wewepia Simume wamtu Auoni Aibuu 😏
2025-09-03 01:47:12
15
@Official_mammy🙏 :
Tap tap the screen and share live😂😅
2025-09-02 04:21:14
14
𝓜𝓲𝓼𝓼_𝓱𝓸𝓽001🦂🦋💥 :
kabisa swadakt msema kweli kipenzi cha mungu 👏💯
2025-09-02 06:02:04
23
user8227369978013 :
Very true umeongea kama wana ume kumi
2025-09-05 05:25:56
2
Eman Herman :
tumejifunza labda hatukujua km ilikuwa hivyo lakini imetulenga wote na haijabagua upande wowote lakini nadhani na wew ni mojawapo make account yako Ina picha yako km zote sasa tupe suluhisho tufanyeje??
2025-09-02 03:39:50
9
BabyLondon :
juu bibi ya mtu anachambana humu😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-09-02 04:29:56
2
sumaiyya manua :
uko sahihi my broo
2025-10-28 13:54:06
1
salma ferc :
na ww wafanya nn TikTok
2025-09-03 09:50:44
1
Real Queen 165 :
mtu na akili zake
2025-09-01 19:51:44
2
Bhabhi ji :
wallay wallay Maneno yako Ni ukweli mm nakuunga mkono bro ukisema ukweli Mungu anapenda sana
2025-09-02 14:43:34
5
Munira Ali :
Maskini sasa wako busy na mabiashara..wao ndo wawalisha sasa eti ndoa subra
2025-09-02 05:08:04
1
Yasmine :
it's true bt mimi najiondoleanga stress ya waiguru allah anipe mwisho mwema 🙏🙏🙏
utaskia wapotea njia atii oooh muko n wivu😂😂😂😂😂😂😳😳but message is home
2025-09-02 06:39:25
3
user9662251968161 :
ukweli unauma ila bora msg imefika
2025-09-01 20:48:52
7
Mooner :
masha Allah umeongea fact bro
2025-09-02 03:53:46
7
DE GEA 01 :
kaka umeongea kweli SEMA walio wengi niwajinga wakiambiwa ukweli wanakasirika na ndio kawaida ya wajinga umeongea kweli ukiona ana comment matusi huyo ni mjinga ukweli utabaki kuwa ukweli tu.💯💯✌
2025-10-02 05:34:38
2
To see more videos from user @sylum33, please go to the Tikwm
homepage.