@cali_omz: Je, kizazi chetu kitakubali kubaki watazamaji? Au tutaandika historia mpya na kusema: Ndiyo, kulikuwa na USA, lakini sasa kuna United States of Africa – USA ya kweli, yenye mshikamano, heshima, na sauti ya vijana? Muda ndio huu. Historia inagonga mlango. Na kama hatutafungua, basi wengine watatuandikia simulizi. Na historia ikishandikwa, haiwezi kufutwa. #FYP #ViralVideo #IbnKhaldun #USADecline #ChinaRise #MiddleEastCrisis #EuropeInDecline #AfricaUnite #UnitedStatesOfAfrica #VoiceOfAfrica
cAli🫶🏻omz (sharif)
Region: KE
Tuesday 02 September 2025 13:37:00 GMT
Music
Download
Comments
Makini :
dunia aitaji tena historia inaitajika technology
2025-09-14 08:20:31
0
Hamis Ramadhan :
umeongea pontisana nahuu ndioukweli
2025-09-04 08:14:15
5
mauletchulu :
💯 I like that
2025-09-26 23:08:51
0
mjay :
big up bro💪
2025-09-25 19:13:44
1
omarybode :
mashaallah
2025-09-02 21:10:14
2
Ismaily Goodfrery Nangale :
huu mda marekani ndiyo hawaweza kutuzuia
2025-09-12 14:58:07
1
Athuman Mdee :
mola jalia hili
2025-09-02 23:08:43
4
أبوالمرتضى عين الرضا علي جمعة :
NA SANAMU LAKE LIKO HADI LEO
2025-09-08 13:11:03
2
SAIDAH :
jitihada
2025-09-08 18:55:35
2
Abubassam abdulkarim :
naona uhakika wa maneno ya ibn khaldun
2025-09-14 09:32:22
1
kombo_wa_wingwi :
good
2025-09-28 10:58:39
0
Erasto :
huu ndio ukweli
2025-09-11 15:15:49
1
nasolo :
mashallha ndugu yetu mungu akuifadhi
2025-09-12 11:53:16
9
user2963190441405 :
ulaya ikianguka na marekani kwanza afrika tutaungana kisha dola kubwa duniani mungu saidia
2025-09-11 15:20:08
2
@muyonzo🫶 :
africa ni kubwa kuliko zile bara zote ww fanya uchunguzi
2025-09-27 04:57:35
0
amk47309 :
mawazo mazuri sana
2025-09-09 05:15:33
4
Ramadhani Lizza :
fact
2025-09-29 11:51:03
0
James Oweka :
follow me
2025-09-03 00:40:36
1
mathayomichael8 :
kweli kabisa tukiungana Africa mzima tunakuwa na uwezo zaidi
2025-09-14 18:49:39
2
jack Maquiz Mansuli Elias :
daa kwel broo
2025-09-27 22:00:34
0
Elvis Brown :
umeongea maneno yenye ukwel kabxa
2025-09-26 04:48:34
1
Hamis Ramadhan :
kwasisi tunaofatilia hitolia yaduniahii huuniukweli kabisa
2025-09-04 08:24:59
4
idrisabdallahrama :
africa unit
2025-10-01 23:05:51
1
AllmjemaTz :
😭 African unit 🤝🤝✌️💪.
2025-09-26 04:06:35
2
sam cm :
🥰🥰🥰🥰
2025-09-23 11:18:26
1
To see more videos from user @cali_omz, please go to the Tikwm
homepage.