Nilipoanza kumuombea tu nimempoteza Ila najua Mungu Ana kusudi kubwa sana na Hili 🙌 Sitoacha kukaa kweny maombi daima
2025-09-03 12:50:07
117
@rnicer :
Namshukuru Mungu hapa tulipofika🙏🙏
2025-10-06 04:42:43
0
Agnes g Simon :
mi ninaomba lakin naambiwa maombi yng ni unafki
2025-09-08 11:35:41
3
m@riamAmos :
mungu nilinde mimi na huyu anaye soma comment hii🙏🙏
2025-09-13 15:26:57
18
cash money :
🙏🙏🙏🙏, Mungu wa mbinguni naomba unisaidie niwe mwanamke wa maombi
2025-09-03 05:28:05
97
pastor Joseph Godlisten :
:::Je, Yesu ni Mungu? Je, Yesu alitoa madai ya kuwa yeye ni Mungu?
Yesu kristo. Matendo 20:28 inasema ya kwamba Mungu alilinunua kanisa kwa damu yake mwenyewe. Kwa hivyo Yesu ni Mungu! Tomaso mwanafunzi wa Yesu alisema ..
2025-09-05 12:24:33
2
@Flozie ✨️❣️ :
prayerss🥰🥰🥰🥰I wish Mungu aniletee mwenye tutakua tunaomba naye🙏
2025-09-03 18:37:27
48
Catherine Steven :
daima sitaacha kumuomba Mungu wangu wambingun kwasababu kila hitaji langu lina patikana katika maombi ♥️♥️♥️♥️♥
2025-10-05 04:01:29
2
Omeh0884 :
kuhani afundishaye🙏
2025-09-03 05:04:06
4
BintiWaYesu :
Aje Baba kayai mmoja niwe namwombea tatu kavu kila mwezi😅😅
2025-09-03 17:48:15
7
Jen Juma :
mm siwez ten kumuombea mume wangu weeee nimeombea kufanikiwa kaniacha sitak kuludia ten huo ujinga najiombea mwenyew
2025-09-04 05:57:36
1
Quite Diana :
namtafuta wa imani mwenzangu tuwe tunaamshana usiku tunafanya maombi kwa ajili ya ndoa zetu zijazo🥰
2025-09-04 12:20:23
8
CHOOSEN 👑 :
Mungu zidi kunisaidie maombi yawe tabia yangu🥰🥰🥰
2025-09-03 16:42:47
36
finest ♡ :
factssssss ukiomba una glow
2025-09-05 07:44:35
6
user7003392099828 :
pray pray pray and pray. until God answer your pray.
2025-09-03 19:33:07
4
Vickie Joseph♥️ :
Eeh Mungu Naomba Unisaidie niwe Mwanamke Muimbaji😭😭
2025-09-03 11:34:50
19
Furaha Andrew :
Nimelijua mapema hili aisee,
kwa ajili ya familia yangu naombaaa tena naomba haswaaa nina amini Mungu wetu sio kiziwi
2025-09-03 13:31:45
14
@mamakee248 :
Alleluia Amen.
2025-10-01 04:34:43
0
Mrs Maureen :
🙏🙏🙏Mungu nakuomba nisadie niwe mke wa maombi kwenye ndoa yangu 🥰🥰
2025-09-04 07:56:44
15
prissy💞 :
mwalimu wangu, Mungu akulinde daima🙏
2025-09-03 08:27:57
7
Alliance :
napenda maombi,sababu ni nguvu yangu ni ushindi wa maombi
2025-09-04 21:16:32
6
Dally Mchome :
Mungu akuweke kwajili yamafundisho mengi zaid uko vzur
2025-09-03 20:35:27
2
midwife ghati :
mwenyezi Mungu naomba nijalie niwe mwanamke wa maombi🥰🥰
2025-09-07 13:55:52
4
Felista Terta :
Amen mungu nipe uwezo wa kuomba
2025-10-06 10:03:36
0
To see more videos from user @mwlonesmoprosperity, please go to the Tikwm
homepage.