kukaa kimya pia nijib kaa kimya endelea na maisha mengine trust me atakuwa anajiuliza mbona hajajib kitu au na yy alikuwa hanipendi
2025-10-26 05:58:59
3
LATIFAH🍇 :
Mbon sijasema ivyo unanisingizia 💔💔💔💔🥹🥹🥹😁😁😁
2025-09-06 11:49:02
4
Official_ $inganoTz}` :
kumbe kaka ni kama mimi kilichonitokeaaa 😭😭😭😭
2025-11-07 18:52:13
1
willie :
shetan na sasampa zishamvuruga mtu 😀😀 akikaa sawa atarud na kumsingizia shetan
2025-10-23 19:04:55
0
Sam de fredy 1901..💥🖤!! :
mbna kwenye sms jina sam Ila tiktoker omary.😅!!
2025-09-04 07:21:15
4
Great Saint_manyama🎯 :
unatak kujb ili afanye nn? kama hujui maan ya neno hana hisia na ww basi maan yake ni hivii ..... HATA HIO SMS UNAYOTAKA KUJIBU HATA KUWA NA HISIA NAYO PIA .. kaa kmy
2025-10-26 09:48:39
2
SHELDON~ :
reality iyo kwn
2025-09-05 18:43:36
3
Tekashi_$ :
Tafuta zako pesa watakuja wenywe🤣
2025-09-16 14:24:51
1
Dior_istore :
Few moments later atakuja na atakuambia alikua shetani trust me bro 😎 ishanitokeaga hii situation ila NB: Jibu sawa aan alichosema chote we jibu sawa af Toa machozi sekunde kadhaa 🥹 coz kulia pia kunaondoa kumbukumbu zake slowly
2025-10-22 19:57:56
5
William :
Wakati wa Mungu unapofika ndio wakati saihi hata Bahari ya sham iligawanyika katikati ili wana wa Israel wapite kwaio bro Unatakiwa upige kifua mara tatu ujipongeze kwa kutoka Caanan😔
2025-09-04 17:30:57
6
it's - B🧂-chein#🧂 :
achan nae
uyo one day atakukumbuka
2025-10-22 13:39:40
1
its_alarcon22 :
achana nayo hii kenge😁😎
2025-10-15 16:59:19
1
Ramaa Agent Savanna Fiber :
Kula Nyama Nyamaza😂😂😂
2025-09-05 15:59:41
2
🕷✨️☆$P!D£R☆♡🤘 :
🙌🙌🙌🙌🙌asant mungu kwa kunishushia mzigo na wakt safar ni mbal
2025-09-05 10:48:23
1
man_problem_255tz :
mwambie akupe ata mamake🥺
2025-09-10 08:28:00
2
suleimans 9032🐾💫 :
Dahaa , I was also told the same thing as you, bro. 😇
2025-09-23 14:51:22
1
Hassani Abdy :
ok good life 😂
2025-09-04 09:34:44
1
chidu_bandawe :
Cha boli 🔥🔥
2025-09-05 06:30:33
3
Sam.inoga2 :
dah😅
2025-09-04 09:28:17
1
Devis Nkini :
Bora ata kasema ukweli japokuwa unauma kaka
2025-10-11 17:01:37
1
MCHIZIII_KINYOO ❤️🩹⚽ :
sad moment 😂🥺
2025-09-04 07:54:10
1
Bless Joseph Yohana :
mmmhh 🥺🥺
2025-10-01 14:56:19
1
dee😇 :
SAWA😁
2025-09-04 19:40:27
2
Salech :
Tuwe pole broo
2025-09-04 14:48:42
1
sas._010 :
usifosi unaharibu brand ya familia
2025-09-04 11:57:59
19
To see more videos from user @omariy_samata_70, please go to the Tikwm
homepage.