@snashtz: SISU: Road to Revenge ,Trailer Review

Snashtz
Snashtz
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 04 September 2025 06:08:01 GMT
93979
7947
121
315

Music

Download

Comments

inc_49
inc_49 :
Mzee hakosei , Waambie wakacheki na don't breath 1&2
2025-09-04 11:16:22
23
yasini266
Yasini Nyande :
brother ile sisu ya kwanza ni balaa ndio movie yangu pendwa sana
2025-09-05 11:22:48
4
mwasitidadi
sunflower :
Uyu mzee si niyule wa avatar ya kwanza uliuwawana na mshale kifuani ? 😳Kama sikosei
2025-09-04 12:52:18
2
user8778745405716
user8778745405716 :
move mbovu acheni kuipamba ivoo
2025-09-06 06:48:24
1
queen_polloh
queenpolloh :
Wacha tusubiri November 👍😄kazi nzuri
2025-09-04 06:18:27
1
kwetusports
Ray sports :
jaman nahisi sijui movie ila sisu hakuna kitu
2025-09-04 16:20:44
1
professor_mas
Professor_Mas🌴 :
Mbona Kam November mbaliii Wa 1990s mna RAMBO Wa 2000s tuna HUYUU MWAMBA SISU NANI MKALIII🔥
2025-09-04 08:36:44
1
godfreynassary
mack&225🇹🇿♥️ :
anaenda kupiga rusia nini au ugeruman😂😂 maana iyo missile bom sio powa😂
2025-09-04 19:49:12
1
hanifuswalehe295
Hanifu Swalehe :
aaah nikajua inatoka kesho😅
2025-09-04 06:46:40
1
mudathr011
Mv Teo :
safi safi safi🤣
2025-09-04 06:23:44
1
zubbeir68
zubbeir68 :
kijana wanguu snaash tunakumiss sana kipande hiki cha movies usiache bhnaa
2025-09-04 12:00:56
1
rez_mbomaaa12
Oliver patrick👊👊👊 :
first comment
2025-09-04 06:16:02
1
abuumacho6
abuumacho6 :
unyama
2025-09-08 06:35:46
0
andrewthefriend255
Andy255 :
finnish a person from finland na sio finishing ni finnish commander
2025-09-06 01:07:38
0
capt_willy
C A P T A I N 🇹🇿 :
Kuna jamaa ananiambia hapa mzee sisu ni baba wa John wick....hivi ni kweli wakuu?😂😅
2025-09-04 18:13:15
0
hamisi.kindole
Hamisi Kindole :
Mzee aliyekataa kifo
2025-09-06 06:15:32
0
torreto_king77
user6703455305961 :
Sio finishing commander. Ni Finnish commander akimaanisha kamanda wa Finland
2025-09-05 19:43:55
0
rahimasamil
rahsamil :
iyachiwe 2 kwaheshima ✌️
2025-09-04 21:50:09
0
yasir.c
Yasir :
kwaiy inatoka lini?
2025-09-06 18:42:56
0
sammodotz2
sam modo tz :
kwnn wasitoe kesho
2025-09-05 02:30:03
0
kifinyo
Kifinyo :
link to download
2025-09-05 06:35:08
0
buffonface
Buffon Face :
asante sana kaka ila naomba utujuze kuhusiana na mwendelezo wa game of thrones please
2025-09-05 05:37:32
0
equetormanmkamba
Equetor Man Mkamba :
Tuondokee 🔥🔥
2025-09-04 19:17:39
0
johnnynyondo
Son ⭕️f Man :
Iwe series tu. Ina unyama sana aiseeee.
2025-09-04 18:00:31
0
tommie_096
Rizybarden_96 :
iyo tunaisubir wote kwa hamu😂
2025-09-04 08:25:33
0
To see more videos from user @snashtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About