@batibora2: jenga na batibora

BatiBora✅
BatiBora✅
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 04 September 2025 07:02:42 GMT
249841
3041
619
438

Music

Download

Comments

neema.jafari1
Neema Jafari :
zinakaa ngapi
2025-10-03 19:54:50
0
salama2017m
salama🥰 :
kama hii bando moja linatosha au inatakiwa bando ngapi nisije nikabaki na boma miaka mitano😁😁
2025-09-07 06:44:57
19
mahabaclass11
Mahaba classic :
zanzibar munafika pia
2025-10-09 18:38:39
0
rejoyce170
user1533524486688 :
gj 28 ya bat bando bei gani?
2025-10-08 09:46:49
0
annaclement42
miss mwakatwila :
naomba ajira ni marketing mzuri🙏
2025-10-03 11:02:31
0
veronika.vero73
Veronika Vero :
nyumba vya vyumba viwili sebule.jiko na choo mbili itatumia pati ngapi
2025-09-05 11:18:03
1
davidgalinomacalister
Hehe girl :
za futi 10 bando bei gani
2025-09-05 05:47:38
0
user59420050630312
user59420050630312 :
migongo mipana ya chenga chengayapoo
2025-09-29 16:46:44
0
allen.guma
Allen guma :
gaji ngapi hiyo kaka
2025-09-06 15:29:15
0
emmy8174
Emmy :
iro bango sawasawa na bati ngapi
2025-10-04 21:14:12
0
user1681266018073
chimalone :
za chenga chenga bei gani???
2025-09-04 21:43:03
0
cutefaraja7
cutefaraja7 :
nahitaj bando mbili zifuke mpaka singida
2025-09-06 19:58:39
0
mwajumaomary166
Mwajuma Omary :
smhn huo mgongo mpana ndio 21000 et kama huvyo nahitaji bando 4 mkoani mnatuma kwa ghalama za mteja au
2025-09-06 18:54:31
0
naina20_5
naina💓🧕 :
malipo baadae ya mzigo kufika au kabla ?
2025-09-04 08:04:39
4
lweyongela
alexfrugence425 :
kampuni gani
2025-09-09 20:25:51
0
kambiantony
kambiantony :
unapata na misumar bule au
2025-09-08 19:10:15
1
user1484835344494
user1484835344494 :
bando moja ina bati ngapi na
2025-09-20 14:01:56
1
user4071474327703
ankoooj :
kwanza nikushukuru wewe mtoa tangazo maana unasoma comment za watu na kujibu kuna mijitu yanapost biashara zao ila wanawez ulizwa mswli ata jbu hmna.
2025-09-09 05:39:59
10
happykadeghe
happie :
nikitaka bando mbili usafiri ni juu ya mteja au juu yenu
2025-10-03 16:36:59
0
salimamussa188
salmacute✌ :
kwa dar kuanzia bando ngap usafir free
2025-09-14 07:11:06
0
gloriaasher5
Gloria Asher :
bando moja ina bati ngapi?
2025-09-09 13:51:15
0
user25435674665918
user25435674665918 :
jamani mm nataka bati ila Sina keshi nataka nilipe kidogo mtanisaidiaje maana nataka nyingi
2025-09-14 04:38:53
0
user878257632815
cute ♥️♥️ :
ndugu naulizia bati la kupitisha mwangaza ndani ni bei gani
2025-10-07 20:54:50
0
rejoyce170
user1533524486688 :
morogoro usafiri wake unakuwaje ?
2025-10-08 09:46:22
0
user2223858765183
user2223858765183 :
zanzibar mnatuma
2025-10-03 09:49:29
0
To see more videos from user @batibora2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About