@twahamwaipaya: Tarehe 1.3.2014 Kata ya Lumuli Jimbo la Kalenga, Mkoa wa IRINGA kwenye uchaguzi mdogo, Kamanda Aphonce Mawazo akihutubia huku akiwa amemshika mtoto mkononi huku wananchi wakimchangia pesa mwanafunzi huyo ili akanunue Sare ya shule, kwenye kiti anaonekana kijana John Heche. Mawazo aliuwawa tarehe 14.11.2015 kwa kukatwakatwa na mapanga na mashoka, sifa kuu ya Mawazo alikuwa akihutubia mkotano mzima watu wanalia kwa kugusa hisia. Wiki ya Mashujaa, tunawaenzi mashujaa wetu.##NoReformsNoElection
Twaha Mwaipaya
Region: TZ
Thursday 04 September 2025 08:29:47 GMT
Music
Download
Comments
Michael Maranya :
pumzka kwa amani jembe sisi Bado tunapambana tangu tulipo kuzika kaka
2025-09-04 17:53:40
13
Artificial intelligenceTony Dr :
Aiseh wanatuulia watu ambao ni smart Sana
2025-09-06 09:07:08
3
tha living man., my god bless you it is so sad.
2025-09-30 18:09:41
0
nyamazulumikindo :
pumzika kwa Amani mwamba
2025-09-08 12:03:55
1
nyandudady :
R.i.p Kamanda
2025-09-04 15:38:06
7
Edward Benedicto :
Daah😭😭
2025-09-04 19:05:15
2
Baraka Luyagisa :
Daaaaa namkumbuka xn hy kamanda
2025-09-04 19:32:38
4
justin maxmilian :
Rest in peace
2025-09-05 14:14:39
6
𝘿𝘼𝙋𝙀𝙎𝘼 :
😭😭😭😭😭😭😭😭 pumzika kamanda
2025-09-23 04:07:52
0
Moses Songo :
mawazo mawazo mungu ailaze loho yako mahala pema peponi
2025-09-04 09:02:26
3
edson1986 :
sikuamini kabisa hilikuwa mchana peupe kabisa
2025-09-04 12:07:49
4
shukuru :
niatali sana
2025-09-04 11:39:45
1
mrisho Rashid Mwishehe :
mawazo daaaa mwamba sijui angekuaje sasaivi mwamba toka Kanda ya ziwa mungu akuepushe na azabu za kaburi
2025-09-04 09:29:20
3
MAISHA MAREFU :
29/Oct 😢😢😢😢
2025-09-19 21:29:19
0
machemical :
Duuh kamanda mawazo namkumbuka sana mwaka 2015 mwezi wa Sita pale ukumbi wa man city na watu wake
2025-09-05 07:43:51
4
Partylovetz :
mawazo mawazo pumuzika sasa
2025-09-04 11:53:53
7
Mussa Mwaminifu :
nikweli tushikamane hakuna kutiki
2025-09-04 08:57:27
3
Maganga :
akuna kutik
2025-09-04 09:03:14
1
Marry Pascal :
duuuh
2025-09-04 11:00:21
2
Dominic Izengo :
kamanda mawazo pumzika kwa amani sisi tupo tunaendeleza mapambano hadi haki itawale
2025-09-04 10:58:48
2
Ivanny Elia :
dam yako iko juuyaonawatoto wao nakiza chao walio kukataka mapanga Mungu akupe pumnziko lamilele😭😭😭
2025-09-04 16:37:27
2
kafwimbalameck :
pumzika kwa amani mwamba
2025-09-04 11:26:19
4
meshackkapange836 :
namkumbuka sana huyu broo walimchi nja kamakuku
2025-09-04 14:36:43
1
Simbasport clàb :
Aaaaisee yani hapa sasa ndo munanikumbusha mbali alipokuwa akitokea kwenye ukumbi flani pale katoro Oooh! R. I. P mawazo.
2025-09-04 13:51:01
2
edwincharles516 :
pumzika kwa amani inauma sn
2025-09-04 18:37:37
1
To see more videos from user @twahamwaipaya, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.