@babaabebeeaogopaa: ROSTAM AZIZ AZUNGUMZA. Bilionea Rostam Aziz Afunguka mengi historia yake jinsi alivyoanza biashara zake, katika mahojiano na mwandishi wa habari mkongwe Tido Mhando Credit @legitv 📹 #siasa #biashara #reelviral
Fanya biashara achana na wenye chuki, akiwa mgeni mzungu, kelele, muarabu kelele, watasema nchi imeuzwa, mzawa ambae pesa na faida inabaki hapahapa pia maneno, hao ndio binadamu.
Ukweli Huwa Na Ukweli Good Interview Mr Tido Muhando Dawa Ya Mti Jeuri Ni Kusudi Watu Wowote Wanao Kuwa Na Tabia Chafu Basi Huwona Wote Ni Kama Wao Maneno Ya Rostam Ni Maneno Yalio Nyooka Anae Chukia Na Achukiwe 👍👍👍
2025-09-08 21:12:27
1
digon :
yaani wewe ni mwema sana bro mungu akutunze sana😄😄😄
2025-09-07 16:29:55
2
peoples favourite :
mazuzu yapo jamani ukweli hataki kusema ni mhindi tu au mwarabu
2025-09-06 15:25:43
1
Omary Daudi :
aisee nimekusikiliza kwa makin.ww ni mtu halisi piga kaz
2025-09-07 07:07:44
4
user6869502278705 :
mm namjuwa vizuri nimesoma nae mwamala shule ya msigi 1967
2025-09-06 13:27:50
3
user5705615540073 :
Huyo prosional ni dalali's
2025-09-15 23:26:34
0
user24024190945116 :
☑️☑️☑️☑️☑️☑️
2025-09-08 10:00:25
1
Bigboy_baraka☺️ :
😁
2025-09-07 21:22:00
1
user6527070377820 :
😳
2025-09-07 13:00:50
1
Omary Daudi :
wa nyumban kabsa😅
2025-09-07 07:08:02
1
To see more videos from user @babaabebeeaogopaa, please go to the Tikwm
homepage.