bafana nenda kasome Bado hujafika ilmu yako ndogo sana
2025-09-08 11:31:46
3
Abu hashim :
hapo sikama mwanamke Uko kwenye handasi waleta majina ya Allah humuna Akili
2025-09-15 10:40:57
0
Kaka :
Kuna mambo ya ushoga na usagaji hawasemi mawahabi ni mawlid na dhikri
2025-09-09 08:16:01
1
Abutahsin :
kama ni haramu basi muachie Allah atawahukumu si tupoteze mda kwa kazi ya Allah isio kua kazi yetu
2025-09-08 21:27:44
3
jalalli :
Hao mashekhe wa kiwahabbi Hawana hata Nuru kwenye nyuso zao. Kweli Ile fitna alioitaja Mtume kutokea Najd imethubutu na Hawa ndio kwenye hio silsila.
2025-09-08 17:22:55
2
al96am :
sheikh Allahu ma barik mawaidha yako mazuri sana yote
2025-09-08 19:28:02
3
Sue 🥀🫧 :
Ah ah ah ni ahatii watu nyinyi kweli wazima? 😅
2025-09-08 17:08:59
2
FARAJ JUMA BHALO :
MPUMBAVU HUYU,MJINGA KHABITHI
2025-09-15 04:50:13
0
Nissan_07 :
wajinga nao huzeeka ni km huyu bafana
2025-09-08 10:59:46
5
Subra ina malipo :
kumbe lilokupeleka huko n pesa .nimejuwa leo
2025-09-08 11:06:11
0
ANONYMOUS USER2024 :
nenda ukasherehekee timu yako ya bafana bafana shekhepuzi mjinga anaefuata pembe ya sheitwan adabu yako chache sawa na najisi ya ngurue
2025-09-08 15:21:18
0
Blackbird :
huyu sheikh mamake awe hai sasa hivi amwambie babako NI Raila...atakubali huyu🤔
2025-09-08 21:09:38
0
Hassan Anwar😎 :
Tuchunge tunaoyaongea kwenye comments ufahamu kila anaesoma labda unapata thawabu ama madhambi.
2025-09-08 19:29:08
0
Rammonah's Golden Bites😋 :
bida'a ni khatari kuliko dhambi,dhambi utajua ni mbaya utaacha lakini bida'a utaona ni matendo ya kidini lkn mtume hakufanya,Allah atuongoze ktk njia iliyonyooka
2025-09-14 15:47:15
3
almoris 😍 :
wape elmu sheikh langu watu waache bidaah
2025-09-09 18:28:59
3
BOQORKA GESKA AFRICA🇰🇪 🇧🇹 :
Kusherekea Kuzaliwa kwa mtume MUHAMMAD SAW ni bidaah epukana na mathambi ya kujitakia
2025-09-09 07:44:06
3
yb Ghostzone :
shekh umenikumbusha,zaman ujinga,maradhi 😁😁😁
2025-09-08 16:35:12
11
user3081233808032 :
shukran sheikh kwa kusema ukweli mowlid ni bidaa
2025-09-08 17:48:08
1
Naushad Singh :
shukran kwa kuelemisha uma sheikh Yuko sawa 💯
2025-09-08 12:33:22
16
Hamza Awadhi :
bidaa
2025-09-09 09:46:58
3
Saeed barbud :
xx hyu sheikh n VP yuakana v2 alizo fundishwa akiwa udogoni akiwa madras alfu saii sjui hyoo elimu y xx ameitoa wp. jamaani hawa watu ukitaamali vzri hawathamni hta wazazi waoo
2025-09-08 20:22:02
1
adogado :
wwe mwenyewe bidaaa
2025-09-08 11:05:32
0
Moha :
wasikitika dhambi huku ukicheza wallahi hawa watu wanapotosha watu😂
2025-09-08 11:29:19
6
Abutahsin :
subuhanallah! waisilamu badala ya kuzungumzia maswaibu ya wapalestina tunapoteza mda juu ya maulidi ni bidaa au si bidaa
2025-09-08 21:26:06
8
To see more videos from user @abuu_naufal8, please go to the Tikwm
homepage.