@abdulkarimsimba: Jambo lina hitajïka kufanywa ikiwezekana kisheria hilijambo la supkem li angaziwe maramoja sababu tunako elekea ni aibu huo uongozi una leta kwa jamii

Abdulkarim Simba
Abdulkarim Simba
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 08 September 2025 13:21:51 GMT
8672
460
63
56

Music

Download

Comments

kassim.kioko
jk :
uyo jamaa ni mwislamu kweli anaka tu mwizi😡😡
2025-09-09 04:53:54
1
user1598115941067
user1598115941067 :
mshia huyu rawafidha mkubwa wallahi Allah atamdhalilisha
2025-09-09 19:12:38
2
abuu.maida8
Abuu Maida :
Allah aturahisishie walai🙏
2025-09-21 07:55:00
0
adanabdullahi592
Adan Abdullahi :
umenifurahisha. keep up the good work of exposing viongozi wadhalimu
2025-09-20 19:54:18
0
mbaruk01
Mehboob :
Hao wamekua hired. Wewe hujielewi na hujui lolote kuhusu Supkem. Kila ukizungumza umesikia.
2025-09-09 20:41:38
0
kamaltwaha
kamal twaha :
pole lakini kama ni ukweli kama si ni waisilamu..watu walichukuliwa na kulipwa kwetu kwenda maandamano
2025-09-09 03:35:42
0
pendo_poultry_breeders
Pendo_Poultry_Breeders_Local :
Huyu mshia amewazoea waislamu😡
2025-09-09 04:03:32
2
user6637627299906
malicha nuri :
Kwanza nashanga Nani kaweka ye hapo huyu sio muislamu
2025-09-08 14:57:41
1
ama34an
maj34 :
the man milked Kenya Muslim youth alliance and left it to die
2025-09-09 11:41:00
1
babuuosama
Babuu Osama :
Ole nadoo Wewe Dhalimu Unatumia SUPKEM kujitajirisha wewe na wenzio Mnathulumu Mayatima Wajane Maskini na Mafukara Ole Nadoo Must Go
2025-09-15 07:25:40
0
user1702121455057
Afia :
Kiongozi ambayo hapigwi vita hafanyi kazi. Kumbe Ole anafanya kazi kweli
2025-09-09 05:15:34
0
sheikhalishekuwe
Ali Shekuwe :
His desperation is directing him to start fighting mosques and individuals of certain mosques especially Majengo mosque...He better keep off from Riadha and his Mess
2025-09-08 13:29:03
0
ustadh_jeylan
Ustadh_Jeylan :
lazima waende
2025-09-10 08:33:17
0
faizkamuzu1
babu j :
huyu jamaa na wengine wanatumia supkem vibaya,wanataka pia kuchukua nyumba ya mayatima,,.
2025-09-08 21:54:02
0
realyahyamohammed98
Yahya Mohammed :
shida ya vyama vya kiislam nikukosa kubadilisha uwongozi hata kama ni wafisadi waazi na mapembare
2025-09-09 05:35:30
0
bin.nassir
Bin Nassir :
mbona time yote watu wahaja fanya maandamano why sahi sababu wamezidi na ujinga yao
2025-09-09 05:43:49
0
jubeyr06
JAMAAL :
huyu aende nyumbani
2025-09-08 20:08:28
0
sakinamwinyi312
Sakina Mwinyi :
Simba anguruma!!!
2025-09-09 17:25:06
0
047arsh
0470arsh :
we mwizi rudisha kiwanjs
2025-09-08 14:24:11
0
khalifaathumani39
Khalifa Athman :
Supkem ni ovyo kabisa. Hawajawahi kusaidia hadi mtoto yeyote kusoma hata madrassa wala shule.
2025-09-13 18:37:04
0
user3193324949852
Munir Masoud :
THERE ARE MANY INDICATORS WHICH POINT TO GREAT CORRUPTION IN SUPKEM
2025-09-18 15:18:26
0
mohamedmbwana255
Mohamed Mbwana :
kweli huyo chairman amefit kweli namuona kamaaaa...............
2025-09-09 06:33:45
0
lordsultwan
Lord Sultwan :
huyu Kwanza ni Muislam
2025-09-10 03:49:28
0
yahyaabubakakarsh
Yahya abubakakar sherriff :
simba for chaimanship
2025-09-09 06:32:09
0
aminaismail191
amina ismail :
Kweli Watoto Wangu wamesoma hapo,,Wamechukua Hadi Mararagu msilimi sec school waneuza ,Hakuna wakutetea , Subuhana Allah
2025-09-13 00:50:29
0
To see more videos from user @abdulkarimsimba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About