Bangi zinakusumbua bwana mdogo, Serikali haipewi amri ila serikali ndiyo hutoa amri maana ni utawala! Eti RPC mtu mdogo sana mara serikali utaishughulikia, huyu utoto unamsumbua ukichanganya na ujinga ndo basi!!
2025-09-08 20:31:13
2
Salum :
...Samia WETU mitano tena tena.
2025-09-08 19:16:09
12
vant ⭐ boy :
kweli
2025-10-15 16:07:20
0
deduce8 :
dah shujaa wetu mungu akutie nguvu huko uliko ikiwa uko hai tunatamani tukuone tena 😂😂😂✌️✌️✌️✌️
2025-09-08 19:18:49
19
Son de light 16🔥🇹🇿 :
shujaa aliyeamua kujitosa kwaajil ya wengi
2025-09-08 17:06:49
136
user2435922354060 :
dar mwamba tusimsaliti watuuuwe wote
2025-09-30 19:11:40
0
kjk mtt w masharubu :
atatokea jibwa atafurahi wa kutekwa mtu kama huyu dahh tz watu wake waajabu sana watu kama hawa ndio hazina ya taifa letu
2025-09-08 19:28:27
5
Juma makungu :
umewashuhulikia au wamekushihulikia ?
2025-09-08 19:15:51
0
Kweka Sadat :
we nae hunaga akili
2025-09-09 04:55:36
2
Peter Ndichu :
okombozi Tanzanian umo njiani . watishie watu, watie watu korokoroni, wawasafirishe ahera kabla yasiku zao. IWAPO MUNGU AMEACHILIA ROHO YA UKOMBOZI
2025-09-08 19:46:21
2
Dianadee :
Aliipa serikali siku 30😭🤣🤣🤣🤣🤣🤣 me mwenyewe nimeogopa
2025-10-07 22:45:25
0
mujo B :
RIP mdude 😭😭
2025-09-11 08:59:20
0
Baba Travis...✅ :
Asante shujaa mzalendo wa nchi yakoo
2025-09-08 19:17:08
74
Benedicto Simon :
Acha litukanwe maana halioni aibu
2025-09-09 07:07:13
2
𝓝𝓪𝓫𝓲𝓲-тz :
Tanzania Tunahitaji Rais KAMA huyu
2025-10-14 12:41:33
1
Ernest Pallingo :
mungu akulinde uko ulipo
2025-09-09 12:20:58
10
Jalia :
Hafu tuliobaki eti oktoba tunatiki. Nchi hii ni ☺️☺️☺️
2025-09-08 20:58:46
1
omay :
mitani tena
2025-09-08 19:56:51
0
MR kitango :
huuwz kuamrish xerikal🤣🤣🤣 pumb ww
2025-09-10 11:35:21
0
user1991792756117 :
wamemuuwa kikatili sana jaman
2025-09-12 09:58:59
3
user4564485886319 :
Dah mdude! Where are you?
2025-09-11 13:56:27
0
Peter Maheta :
Ipo siku yao subilieni
2025-09-11 20:34:58
0
bitehTz123 :
weweee ataaa kamaaa Kuna mateso unayapataa bass munguh anazuia maumiviii thanks you sanaaa
2025-09-29 17:50:43
0
GEOFREY :
daah ukweli unauma
2025-09-08 16:37:33
12
To see more videos from user @odembamedia255, please go to the Tikwm
homepage.