sasa wew unaenda kufanyia modification kigoma au bukoba wew
2025-10-16 00:20:59
0
Mwaka The Great :
unanunua Gari Ya 15m halafu Unakimbia Gharama za AC Kwa 300k😂😂😂😂😂😂
2025-09-12 16:26:26
6
givenkataa :
leo nimekutananayo hiii boss hanielew kabis
2025-10-12 16:10:38
1
wiston :
compressor itakuwa imeanza kujamu na sio mod ndio shida kaka v6 compressor haiwezi fanya hivyo
2025-09-12 12:37:49
4
Shebby :
Kuna Moja ilikuwa na huo ugonjwa , Muhimbili ilishindikana, tumepeleka Mloganzila imeshindikana ss hiv iko Temeke .
2025-09-13 20:48:36
1
Mr_Hussein💫 :
😂😂😂 duh hiii ...Nchi nigumu
2025-09-12 21:45:21
1
Shilla :
huko ndani wameweka driller au 😅
2025-09-12 18:03:37
6
@SON## :
Iyo ina kifafa
2025-09-12 17:08:57
1
Rammie255 :
ingekua mm ningekagua Hali ya ignition coils, plugs, engine mount..nikikosa apo ndo nije kujagua kama compressor imejam au mifumo mingine ya sensor kama maf
2025-09-13 11:24:57
2
ABAA✔ :
hii itakua ni stone crusher sio gari
2025-09-13 04:23:07
1
Hustler_ :
😂😂 Et drip
2025-09-12 11:53:52
1
obbygollar8 :
iko na kifafa alfu umechukua kwa mkopo 😁
2025-09-12 19:53:54
1
Mjedatz🏴☠️💣 :
Aisee iyo imechanganya kifafa na degedege😁
2025-09-13 20:51:24
1
ipm :
ngoma ina kifafa au degedege😂
2025-09-12 18:27:39
1
hom£b○Y. :
alooo iyo inataka sindano za tetenas
2025-09-12 18:19:33
3
mdeppo_store :
Sio mazda kweli hii😁
2025-09-14 10:50:31
1
naturalconservati8 :
imepandisha mashetani😂😂😂
2025-09-15 19:39:04
0
selassie :
Hiyo gari ikiwashwa ac inapata conversation 😳
2025-09-13 19:28:15
1
. :
gari gani
2025-09-14 02:20:31
0
Blue_sky_vacation :
Mm niko na aphad nikiwash lC nikirud nyuma inavibrate
2025-09-12 15:27:17
5
Kwayson :
mna uhakika engine mountiine zipo njema
2025-09-15 14:27:26
1
Navigator 👮♂️ :
hapo oxygen sensor ndio zimekufa mzee
2025-09-14 08:18:55
1
Thomas Sanya :
Ahahaha kunywa mchuzii tuu nyama achana nazoo
2025-09-13 07:06:37
0
To see more videos from user @kisangacooling, please go to the Tikwm
homepage.