@tztrendsmedia: Kurasa mpya ya maisha imefunguliwa rasmi kwa Mohammed Hussein kwenye Falme za Jangwani, hizi ni tambo za Mkali wa hizi kazi Haji Sande Manara kwenye utambulisho wa Tshabalala 🙌🏾 • #YangaDay #TZTrendsMedia #TZTSports •

TZ Trends
TZ Trends
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 12 September 2025 15:46:55 GMT
520956
24523
1149
722

Music

Download

Comments

masanjadeogratius
masanjadeogratius :
Mimi ni Simba ila Mohamed kwenda Yanga ni sahihi ,,ni timu kubwa na yenye furaha😅😅
2025-09-12 16:43:14
97
sadaabdallah736
Sada Abdallah :
𝐧𝐲𝐨𝐭𝐚 𝐲𝐚 𝐦𝐚𝐦𝐚 𝐚𝐦𝐢𝐧𝐚 𝐤𝐨𝐤𝐨𝐭𝐞 𝐡𝐢𝐥𝐢𝐤𝐨 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐧🤣🤣
2025-09-12 18:01:43
0
user6177326553791
keeny+252Da Mike :
namonea huruma atakavo kuja kutelekezwa
2025-09-12 16:37:29
56
julaita.juma
Julaita Juma :
mohamed Huna utofauti na mwanamke malaya
2025-09-12 20:02:49
0
lilianjohn3570
BABY GIRL🌹 :
Nilkua simpendi ila kwasasa nampenda 😂😂
2025-09-13 06:55:15
6
aminambagata
Amina Mbagata :
hongera sana umeingia yanga ukiwa na amani na utaipata amani krbu jangwani
2025-09-12 15:55:14
94
mae857335
mae :
akitoka yanga anaenda namungo tunamsahau
2025-09-12 16:35:53
11
user3420735984312
user3420735984312 sheby :
ni choko huyo ni swala ra muda tu kwani chama ilikuaje
2025-09-13 11:11:55
0
its_morris5
It’s_Morris😊 :
Sasa kama ilivo ADA wanasimba ni muda wa kumu unfollow mohamed hussein kasaliti haka😂
2025-09-12 18:21:43
14
richstar_20
Richstar💫 :
wapi mkude ,wapi baleke , wapi chama , ni zamu ya husein kwenda kula mafao
2025-09-12 23:23:58
0
user31090734960308
dencial💞 :
ameingia kwa furaha sanaaaaaaaaa karibu yimu ambayo mungu pia anaipenda
2025-09-12 16:16:09
24
mkamawaso541
mkamawaso :
nenda mwana kwenda 😏
2025-09-12 16:47:14
32
mwanzalimas
mwanzalima :
na mama Amina wamemsajili😂😂😂
2025-09-12 19:33:44
5
shaaah38
Shadia🦋❤️ :
sisi tulivokuwaa tunamheshimu nakumpaa kipaumbele vilee waoo wanamnengulishaa hiviii😅😅😅
2025-09-12 18:36:44
0
userneemakhan
♡Nai Aryan♡ :
like nying kwa yanga ☺️❤
2025-09-12 18:23:54
21
jodex740
jodex# :
Simba acheni makasiriko mtakufa vbya🤣🤣🤣
2025-09-12 17:26:57
52
unstoppablelovetz
Unstoppable love :
kesho tu atakuwa na chama kule msijar
2025-09-12 20:02:32
9
malaika.mage
Malaika mage :
Nilikua simpendi uyu kipindi yuko simba sema ntafanyaje kashakua familia😂
2025-09-12 16:43:38
18
queenhaule2
queen💋 :
ila daah sio siri imeniuma mno sijui kwann daah
2025-09-12 17:01:03
1
poulfrancis0
poulfrancis0 :
chama je yupo wap?
2025-09-12 17:53:40
7
chatu889
msema kweli :
zimbwe ni galasa lisha jizeekea..
2025-09-12 16:56:22
6
hanspop.che.malon
Hanspop "Che Malone" :
Yaani alikuwa mpole na mstaarabu, ghafla kawa wa ajabu ajabu, anakata viuno!
2025-09-12 20:07:55
0
user3256614827812
user3256614827812 :
ana maajabu gan kwanzaaa!!!akwende huko😏😏
2025-09-12 16:37:31
2
user1528372562731
lee😘 :
kawa handsome boy,kumbe yanga ni sabuni ya roho🤣🤣
2025-09-12 16:44:41
1
To see more videos from user @tztrendsmedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

😋🎉🫶 อร่อยไม่ไหววว พร้อมได้ความรู้ไปกับ > น้องๆ ร่วมตอบคำถาม พร้อมเล่นเกมส์หมุนวงล้อลุ้นแจ็คพอต ... งานนี้เก่งกันทุกคนเลยยงับบ 👏😁 #TaiwanSnack #ขนมไต้หวัน #wantwant #ว้อนท์ว้อนท์ #wantwantthailand #แบรนด์ขนมยอดนิยมจากไต้หวัน #WantWantSchoolTour #ว่างไจ๋ #Wangjai #ชลบุรี #อร่อยโดนใจใครๆก็ว้อนท์" width="135" height="240">
😋🎉🫶 อร่อยไม่ไหววว พร้อมได้ความรู้ไปกับ "กูรูว่างไจ๋" 😎 🍬 ฟินๆจุกๆ รับขนมสุดฮิตจากว้อนท์ ว้อนท์ ~~ QQ Gummies & Rollie หลากรส ✨💞 🎉 บันเทิงสุดๆ กับ Want Want School Tour Day 4 จ.ชลบุรี >> น้องๆ ร่วมตอบคำถาม พร้อมเล่นเกมส์หมุนวงล้อลุ้นแจ็คพอต ... งานนี้เก่งกันทุกคนเลยยงับบ 👏😁 #TaiwanSnack #ขนมไต้หวัน #wantwant #ว้อนท์ว้อนท์ #wantwantthailand #แบรนด์ขนมยอดนิยมจากไต้หวัน #WantWantSchoolTour #ว่างไจ๋ #Wangjai #ชลบุรี #อร่อยโดนใจใครๆก็ว้อนท์

About