@lightcasttvkenya: "Nilisikia kuna hospitali fulani iko Kinoo ati wanafanya operation mingi kushinda Kenyatta. Ule bishop wa Mumias alitaka kutuibia pesa ya SHA. We'll get rid of such crooks and false claims!"~Ruto.

Lightcast TV Kenya
Lightcast TV Kenya
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 13 September 2025 08:11:17 GMT
121535
5885
427
284

Music

Download

Comments

lovart_gallery
lovart gallery :
Anyone against Ruto is an enemy of the progress of our country
2025-09-13 09:44:40
161
jamesgitonga17
jamesgitonga :
Every Day we've seen over 5k people in statehouse and each one is given 10k+ lunch and bus fare, atwambie anatoa wapi kama sio zetu anapora
2025-09-13 21:26:36
4
gesairoo1
Gesairo01 :
😂🤣🤣🤣iyo ni Kali bwana president
2025-10-04 18:05:45
0
kikii_254
kiki@254🇰🇪 :
term ni mbili siku zomboo
2025-09-13 09:30:14
103
macharia.muigai
MACHARIA MUIGAI :
wewe ndio kiongozi unatwambia tufanye nini
2025-09-13 15:03:09
17
d_enzo13
dbarbo :
mlisema mkitaka kushika mwizi tumia mwizi mwenzake sindio 😂😂😂😂
2025-09-13 08:27:42
79
triple.h974
Triple H :
instead of addressing challenges within education sector kasongo is diverting to SHA cases,,, en I wonder teachers are busy listening and applausing to ly
2025-09-13 10:05:09
8
willymhandy
Mr Handsome😘 :
Labda miguu ilipigwa risasi🤣🤣😂😂 Sema Wantam🇰🇪🇰🇪🇰🇪
2025-09-13 09:52:11
31
aliabdikadir97
Ali Abdikadir :
wewe ukiongoza wezi
2025-10-03 16:17:27
0
_illarie
plimo :
kwani miguu haiwezi katwa kidogo kidogo mara kumi na mbili??🤣🤣
2025-09-13 16:13:28
4
john.vincent84
John Vincent :
mimi bado niko kwa kinoo😂😂
2025-09-13 12:58:16
11
adaptiousfrank
the adaptious frank :
proud of you Mr. president 💪. Just rule forever,am okay with that coz I don't know who will succeed you.
2025-09-13 12:56:20
14
calvincal6
Calvin Mc'Adhis :
Ndio maana mikora wanashinda na "WANTAM"
2025-09-13 11:47:19
22
jack.kamau47
Jack kamau :
i heard leo ilikua teachers meeting but nikama it changed to doctors meeting
2025-09-13 08:41:53
6
r_a_n_g_er
MARTOH ¥ ™️ :
mmmmh 😒😒😒😒😒😒😒😒 kasaitani unaeza dhani n kamtu kazuri nkt....
2025-09-13 13:16:49
9
bagilo17
Bagilo :
running Kenya is a difficult job hapo imefanya nipasuke na kicheko😂😂😂
2025-09-13 12:29:35
7
mohamed.minnesota
Mohamed Minnesota :
there is another local pharmacy in mandera east, busley location called samakab who is not qualified evn the owner never went school,but do claims,
2025-09-13 09:36:20
6
y_17up
Shujaa+ :
NHIF was a fraud mnasikia watu wa wantam
2025-09-13 13:11:47
4
coscosco
Cos. :
Muuaji Wewe 🫵😳
2025-09-13 09:22:24
5
engsaire
Mr Robert :
ni meeting ya walimu Ama hospital 😁😁😁
2025-09-13 08:25:30
5
loganjakes
Logan Jakes 🇺🇲 :
yaani waalimu mko na upuzi?
2025-09-13 14:19:25
2
user9427650761394
lion :
Running kenya is not easy 😅😅😅 Tanzania hope mnaskia hii 🤣🤣
2025-10-03 05:29:29
0
skjg254
jack SK :
are they in prisons or and name them stop stores
2025-10-02 14:47:11
0
gythenyanjoroge45
(#45) :
pr
2025-10-03 18:15:21
1
maaking78
Maa King 👑 :
😂😂😂😂 bwana Rais we ni noma
2025-09-13 09:28:49
6
To see more videos from user @lightcasttvkenya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About