@dr.issambashu: BIPOLAR DISORDER #drmbashu #drissambashu #tanzania🇹🇿 #tubemedical #kenyantiktok🇰🇪

Dr. Mbashu MD,PMP®
Dr. Mbashu MD,PMP®
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 13 September 2025 15:51:40 GMT
142186
4859
185
235

Music

Download

Comments

usern68734
usern68734 :
Dr Mbashu... mtu akiwa na shida ya kutetemeka akisikia njaa, hiyo husababiswa na nini?
2025-09-14 04:12:31
17
j.kipesha
J kipesha :
kusema wafamasia hawafuatili history... sio kweli adverse overview ni common practice . hakuna pharmacology bila knowledge ya magonjwa na adverses ni kiini .[stereotypes]
2025-09-13 23:08:16
22
cathy.assenga7
Its Cathy♓️👑 :
Mm naomba msaada naweza nikawa nipo swa kabsa sina tatizo nina aman furaha lakin ghafla tu hasira inanipata ile ya hali ya juu kabsa nawez nikajikuta hadi nafany kitu kibaya hii itakuwa n nn 🙏
2025-09-16 19:17:04
0
joseph89jackson
joseph_89 :
Watu wengi wanachanganya bipolar disorder na borderline personality disorder. kwenye bipolar hizo changes za kutoka kwenye mania kwenda kwenye depression hazitokei in the matter of hours au days Ni phases ambazo zinalast weeks, mgonjwa anaweza kua kwenye manic phase kwa wiki nyingi tu bila kua na depressive phase, na vile vile anaweza kua kwenye depressive phase wiki nyingi bila kua na mania. watu wenye mabadiliko ya mood yanayotokea ghafla wanaweza kua kwenye kundi la borderline personality disorder
2025-09-14 04:20:37
12
2501twaha
TWAHA🧠 :
daktr naomba tofaut nzur ya bipolar 1 and bipolar 2 maana zinachanganya sana
2025-09-13 18:34:40
0
user8102359880343
Zahra mamy :
mnatupa shida zungumzeni kiswahili jamani
2025-09-14 05:10:17
3
mahadiwamaiyafaraji31
𝕠𝕗𝕗𝕚𝕔𝕚𝕒𝕝 〄𝕞𝕒𝕚𝕪𝕒🧿 :
kila mtu ana baipola yake😂😂😂😂
2025-09-14 04:21:08
6
azz_stan
Stan :
Mbona mimi ni Mfamasia na hayo mambo nayaelewa vizuri tu mzee 😁. Lazima niulize na nifuatilie matumizi yake je anaendeleaje na ametumia kwa muda gani na anapata dalili zipi ambazo si za kawaida By the way safi sana hapo mwishoni umesema point za msingi sana kuhusu Pharmacy ( Esp Bpharm na kuendelea ) 👏👏😁 , na mimi nakupongeza pia una shule nzuri hujabweteka kama wengine
2025-09-13 21:27:49
5
nyangwiza0
Mama J. :
Doctor mwanagu anakunywa maji kupita kiasi. na anakojoa kuliko
2025-09-14 04:54:53
0
user5956614342952
August :
Dr nina ndugu ambaye amepata mild stroke, imempiga kwenye upande mmoja wa uso, BP yake iko normal, ila ameambiwa stroke imesababishwa na herpes virus. Naomba unifafanulie hili tafadhali. Herpes ni nini na inahusiana vipi na stroke.
2025-09-14 07:10:19
0
mofulu.ngumu
Mofulu ngumu :
DR yote uliyo yaongea sijaambulia hata moja hapo shikamoo elimu
2025-09-13 18:52:27
13
fahadghost06
fahad :
Wasomi Hiiii
2025-09-13 18:31:46
11
mszt89
msz T Twang :
kwahyo huu ungonjwa ndo ule alionao siwa kikala siet🙄
2025-09-13 19:17:39
4
kingkibe26
kingkibe26 :
jamani tusome guys dunia ya saivi inahitaji elimu Kwa kiwango cha juu
2025-10-14 03:50:51
0
fatmaattas7gmail.com
Fatma Attas :
na schizophrenia ipoje na inatokana na nini?
2025-09-15 03:00:58
1
ummyjm
UmmyJM :
Hospitali nyingi haifatilii hii kitu, haitoi elimu hata kwa watumishi wake umuhimu wa mgonjwa kuonwa ma daktari kila anavyokuja kurefill, unakuta mtu anatumia dawa for time haomyeshi dalili za unafuu kwakua mtu anakuja hospitali ila hamuoni daktar anadakwa tu huko anapelekwa pharmacy kuchukua dawa, hii elimu ya afya ya akili inatolewa sana kwa jamii inasahau wahudumu wa hawa wagonjwa, mm nimefanya kazi hospital ya wagonjwa wa akili yani unakuta mgonjwa anakuja katulia tu lakini kauli au huduma mbaya za watoa huduma zinaenda kuamsha tatizo hadi mgonjwa anacharuka hapo hapo anakua wa wodini
2025-09-14 04:43:20
1
msuri_96
Msuri_96 :
bro No zako please nashida
2025-10-11 18:02:40
0
faizmusaabdallah
Faiz :
Hebu eleza kwa kiswahili unatumia kiingereza kitupu ila isipokuwa kwenye kuunganisha maneno ndio unatumia kiswahili hivi ata sielewi maana unatumia kiingereza cha kisayansi cha maradhi
2025-09-14 01:45:07
0
doctornoel
Dr. Noel, MD :
Bipolar simply means mtu kapata Mania! Mfano mtu akitoka iso kwenda depressed, thats not bipolar. But from iso to mania, hio ni bipolar. (Point for better understanding)
2025-09-21 12:06:40
0
user1050262680937minah
minah :
kama nmeelewa labda neno moja tu
2025-09-14 05:49:23
0
the_brainer88
The Brainer :
thanks doctor mbasha ,so what is the main difference btn hypomania na depression?? according to what ulivoshow mwanzo wa Convo Yako.
2025-09-14 06:59:32
2
salvatory_esq
Salvatory, Esq :
sometimes we deal with psychiatric matters in legal field....#law of tort
2025-09-14 05:31:37
2
my.mayah
my.mayah :
Bioolar disease ina hallucinations doctor? Au hallucinating is more of schizophrenia?
2025-09-14 10:07:37
0
mr.d7357
Mr d :
Wengi wanawapeleka watu kwenye uraibu pia
2025-09-14 03:48:53
0
frankmoshi7
mo ph :
wasomi bye bye in #doto maggari voice
2025-09-14 04:05:45
2
To see more videos from user @dr.issambashu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About