@irpanarief: Secandu dan serindu itu solat subuh di mesjid nabawi #masjidnabawi #madina #madinahalmunawaroh

Arief Irpan Fauzi
Arief Irpan Fauzi
Open In TikTok:
Region: ID
Sunday 14 September 2025 22:29:31 GMT
915
132
3
12

Music

Download

Comments

ajmal.hussain8057
Muhammad Ajmal 5680 :
🥰🥰🥰
2025-09-15 01:10:36
0
berkahgina76
berkah gina :
Siapa saja yang melihat video kebaikan ini..semoga di segera kan ke Mekkah dan Madinah,Lunas Hutang"nya & disembuhkan penyakitnya & banyak rezeki nya 🤲
2025-09-15 01:10:35
0
To see more videos from user @irpanarief, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Mbinu 7 za kuishi na mke wako kwa amani 1:Ishi naye kwa akili sana. Mkikosana shughulika na tatizo na sio, kumshambulia yeye binafsi, Tafuta kumsikiliza kwa makini na utafahamu ukweli kwenye maneno yake Siyo kila jambo linahitaji mabishano. Ukiishi naye kwa akili, unajua lipi la kuzungumzia na lipi la kuachia ili kulinda amani. Kwa kadri mlivyoishi tayari unafahamu mambo gani hayapendi, Usipende kuyarudia na kuyafanya, yaepuke kabisa kutunza amani yenu Mke wako ndiye kipaumbele, Hakikisha maamuzi ya ndoa hayatawaliwi na marafiki au ndugu 2:Ishi naye kwa upendo sana Mpende mke wako kwa moyo wote, si kwa maneno tu bali kwa matendo. Upendo hujenga msingi wa ndoa yenye afya. Umemchagua yeye kati ya wanawake wote duniani basi muonyeshe upendo na hakuna haja ya kumuumiza huyo mrembo wako Mvumilie katika madhaifu yake, Mtunzie heshima yake kama mke wako na siku zote aone kuwa anaishi na mtu anayempenda 3:Fahamu lugha yake ya upendo na ucheze nayo. Ukiijua lugha yake ya upendo, utajua namna ya kumgusa moyo bila kutumia nguvu nyingi. Lugha ya upendo ni njia ya kipekee ambayo kila mtu hupokea na kuhisi upendo zaidi Fahamu mke wako huhisi upendo zaidi ukimfanyia kitu gani? Kile ambacho hukipenda zaidi basi mfanyie mara nyingi zaidi ya vingine Kama anapenda kusaidiwa kazi basi msaidie kazi nyingi zaidi. 4:Mpongeze kwenye hatua zake za maisha ya kila siku, Mtamkie maneno mazuri. Maneno madogo madogo ya pongezi hujenga moyo wake kila siku hivyo usiache kumpongeza pale anapofanya vizuri. Kama anafanya jambo fulani basi anapofanya usiache kumpongeza na kumuonyesha kwamba anajua. Msifie kwenye mambo yake anayoyafanya na hii itamjengea kujiamini na kujiona mwanamke bora zaidi. Maneno mazuri unayomtamkia humjenga yeye na kuanza kufanania hayo unayomuambia. 5: Mke wako anapenda kusikilizwa. Msikilize pale ambapo ana jambo la kukuambia Mpe muda wako akuambie mambo yake Kumbuka mwanamke huzungumza maneno mengi zaidi kwa siku kupita mwanaume Hivyo usipompa muda wa kutosha atatafuta sehemu ya kuyaeleza hayo ambayo wewe huyasikilizi Muda mwingine yanaweza yasiwe ya maana sana ila tega tu sikio lako na msikilize na muonyeshe ushirikiano 6:Usimpige mke wako Mke hapigwi bali anabebelezwa Akikukosea mkumbatie na myamalize mambo yenu kwa upendo na sio kumpiga Mwanaume anayempiga mke wake ni mwanaume dhaifu sana. Usiwe dhaifu bali onyesha ukomavu wa akili kwa kumaliza ugomvi wenu kwa amani Siku zote muonyeshe upendo wa hali ya juu huyo mrembo wako na acha aone fahari kuwa na mume kama wewe 7:Muombee sana na kumleta karibu na Kristo. Mke wako ni msaidizi wako na ni mlezi wa watoto wako Muombee kwa Mungu ampe hekima ya kuwalea watoto kwa hekima yote. Siku zote mlete karibu na Kristo ili na yeye aendelee kuwa msaidizi bora zaidi Fanyeni ibada pamoja kabla na baada ya kuamka Mtamkie baraka kwenye kazi zake na kumuombea kwa jina la Yesu Mke wako ni msaidizi wako na mlezi wa watoto wako Ishi naye kwa mbinu hizi 7 kwa ajili ya kudumisha ndoa yenu. Nisaidie kumtumia mume wako au mume wako mtarajiwa ajifunze haya. Mungu akubariki 🙏🙏

About