@chadematz: Jeshi la Polisi likimshambulia kwa marungu mwananchi aliyefika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mhe. @TunduALissu.
Akuna nchi ambaye wananchi ni wajinga na waoga kama Tanzania aise.
2025-09-15 07:39:47
829
Team Samia :
...Samia WETU mitano tena
2025-09-15 06:50:11
124
user6252286197982 :
we mama barikiwa na kizazi chako
2025-10-29 08:34:09
5
Retired wife :
Police wa Kenya mnaona hakuna teargas 🙄🙄
2025-10-29 17:23:40
0
HISGRACE Obma🇺🇬🇺🇬 :
I like the courage that lady has. be blessed muwala
2025-10-29 14:07:49
4
Star :
Huyu mama jasiri saana congratulations
2025-10-29 13:20:28
2
Linnah de cute 💜💛 :
Tunaosema Mungu ndo kila kitu gonga like
2025-09-15 16:18:18
87
🦋Jessie home decor🦋💗 :
Mama ni shujaa sanaa😭had nimeliaa
2025-09-15 08:48:37
178
marry Angel❤️❤️ :
kama wanaleta fujo kwann wasi pigwe😏
2025-09-15 10:20:13
124
lina gril :
kuama Tanzania kwenda Kenya unabonyeza ngap??? Kenya naomba mnipokee 🙏🙏🙏
2025-09-15 08:53:40
33
kasweet 90 :
nipee panga please na murudi nyuma kiasi muone kitakajo tokea nimejoka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-10-29 17:38:41
0
innocent girl 🥰 :
Mm n mtanzania ila uyo mama anatokea 🇰🇪
2025-09-16 10:09:09
11
ANNA FASHION :
we dada ulietangulia kumwokoa huyo kaka mungu akubariki sana
2025-09-16 05:19:06
59
Msanii :
mtakufa kweli mbwa nyieee mnaleta upuuzi na serekali na bado mavuzi yenu huwezi kupigwa bila sababu mbona mimi sijapigwa au wewe hujapigwa ukifata mkumbo lazima uteseke nchi hii. kaa nyumbani kula ugali wako na familia yako uone kama utapigwa kuma nyieee
2025-09-16 16:53:00
5
user5697428027561 :
kumbe askari wa Tanzania wana roho mbaya hivi hata kuliko wakenya🥺🥺
2025-10-26 18:06:02
0
sammybrown2120 :
uyu mama atakua si mtanzania halisi ako na chembe chembe za kenya
2025-09-16 07:46:50
112
G.w.a.l.a🧚🏻 :
Wanadhan askari wa bongo ni kam wa kenya ohoo mtakufa😂
2025-09-16 04:38:34
4
KOMA WEWE :
huyo mwanamke ni jasiri ndio maana uchungu wa mzazi ajuwae ni mama💪💪💪💪💪
2025-10-28 16:25:35
4
.Cute Candy..💍🕊 :
mama ni mama tu ila sio mama samia🥺😭
2025-09-15 10:43:06
29
BROTHER :
kumbe wanawake wa kitanzania ndio jasiri kuliko wanaume 🤣🤣🤣🤣
2025-09-16 15:55:58
15
soldier boys :
uyu dada nimekubali vibaya mnoo
2025-09-15 07:34:50
428
aubarr :
kufeni nani aliwaambia muende
2025-09-15 08:59:01
6
To see more videos from user @chadematz, please go to the Tikwm
homepage.