@1maulidimanzi:

maulidi manzi
maulidi manzi
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 16 September 2025 15:43:04 GMT
33392
1673
169
412

Music

Download

Comments

mr.monstertz
mr.monstertz :
jibu swali mwanamke pepo yake ikoje tujue mana kila siku yazungumzwa pepo ya wanaume tu
2025-09-17 04:42:54
1
khamissamis
khamissamisi :
Allahu Akbaru
2025-10-15 12:30:03
1
mr.haji83
Mr Haji :
Hao wezetu wamekaa kama kima kwa kuiga hawa hitaji hata kusoma wakapata kujua.
2025-09-17 06:31:48
1
gwisertv
gwisertv :
anae sema takibiriii
2025-09-18 12:12:27
0
wilbertmakundi672
wilbertmakundi :
na wewe utusaidie mtume alikua mshia au msunni
2025-09-17 21:12:55
1
kirati.og
KIRATI :
umeusahau hata Hadija alomtuma Muhammad naye alikuwa mkatoliki 😂😂😂
2025-09-23 18:34:15
0
dotto.kenny
Dotto Kenny :
Najivunia kusilimu☝
2025-09-21 19:08:50
0
robertmussa2
robertmussa2 :
wewe ndio petrol na juu ya mwamba huu utalijenga kanisa ni maagizo ya yesu somaaa wewe
2025-09-20 08:02:06
0
foolneverrest..simplicit
alieston :
nimathehebu tumia akili kama vile uislamu. uko na mathehebu tumia akili
2025-09-18 04:46:41
0
christ.forever6
CHRIST FOREVER :
Alafu Vitabu vyake viseme wakrsto ni wacha Mungu😅🤣😅
2025-09-24 00:42:22
0
zionist_michael
Michael Zionist Jews :
Huyu jamaa kumbe kidampa kiasi hicho?
2025-09-18 01:18:01
0
user506757684136207
shaloa :
soma kitabu cha Danieli maswali yote hayo itayapatia majibu kama unataka kujua
2025-09-21 19:24:08
0
isaac.kuvavenaeli
Isaac Kuvavenaeli :
mbona serikali haimukatazi badala ahubiri dini yake kazi kumpaisha yesu
2025-09-22 17:50:51
0
mzeemalola
son of Jesus :
huna hoja, povu linakutoka
2025-09-17 17:53:37
0
tom75270
Tom :
DINI YA KIKRISTO NIYA WAZUNGU. DINI YA UISLAMI NI YA WARABU . kwahio hakuna mtu mweusi mwenye DINI sote niwatumwa Wa ,WARABU NA WAZUNGU.Kwahio usijipige kifua hata ww ulisomea dini ndio ukajua .Usikoroge watu. Baki na Mungu wako na wengine Wabaki na ,Mungu wao.Usipotoshe watu🫤😏😏😏
2025-09-19 12:37:29
0
brunoswai
B S :
kawaida ww kumbe sule huna akili kabisaaa
2025-09-20 23:49:50
0
kyulemutua
Mutua :
Mbona ujilize.
2025-09-18 12:32:06
0
christina_sekagi
christinasekagi :
KANISA NI MWILI WANGU PIA NI MKUSANYIKO WANAOOMWAMINI YESU NA SII MAKAO
2025-09-19 05:17:58
1
wakikopi
jimmy :
pangeni mambo yenu msitupange swa😂
2025-09-18 20:06:20
0
casto.maliyamungu
casto maliyamungu@451994 :
Yesu hakuwa mkristo acha kuwadanganya waislaim wenzako ebu njoo tukufundishe
2025-09-17 11:19:40
0
mr.monstertz
mr.monstertz :
@mr.monstertz:nataka kujua Pepo ya Wanawake nayo ikoje wao watapewa nini wanaume tushajua ni Wanawake 70 bikra Wanawake je wanapewa nini...?
2025-09-16 17:35:34
1
alfayo.superboy
super boy :
acha kuwaongopea wezako
2025-09-18 06:52:20
0
event.obedy
Event Obedy :
Ww muanzilishi wa ukristo ni kristo mwenyewe unachozungumzia ww ni madhehebu achana na wakristo fanya yako na makini yako usijifanye mjuzi hujui kitu ww
2025-09-19 04:27:23
1
user5118366611998
YUNUSU SULEMANI :
Asante sana sh
2025-09-19 04:04:57
0
user9968755422099
Mushalangwa :
munajikaza kutetea shetani, ole wenu kabisa
2025-09-17 09:46:11
1
To see more videos from user @1maulidimanzi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About