@crazy_mistake28: Grow up...nkt🙄 #foryoupage #kenyantiktok🇰🇪 #comedy #petty #growup

Loco Réasou
Loco Réasou
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 17 September 2025 05:13:53 GMT
147020
12224
1273
147

Music

Download

Comments

paul.kibathi
Paul Kibathi :
fear this gender unaeza pata ata ni uyu Dem alkua anamuomba number 🤣🤣🤣🤣
2025-09-17 15:43:29
559
user976205734839
Ras :
unanyimana number na ulipewa na safaricom🤣🤣🤣🤣
2025-09-17 11:41:28
651
davidkiguna
Davy :
hizo mawe ni za kujenga si za kukalia
2025-11-01 00:28:37
1
paulm674
Paul Mission :
Kumbe uwa zinapangwa Horizontal
2025-11-01 10:08:16
0
spoiler.dollar125
DOTCHMAN MRONGA :
kiburi Niko nayo hainiruhusu niombe dem number
2025-09-17 12:47:21
353
dorcasirungu360
Y-thera :
Mimi sinyimagi mtu namba si kuna block na archive 😊
2025-09-17 15:25:10
5
coach_munroe
Mich Munroe :
Amkia mawe za wenyewe😂😂😂😂kalia number yako
2025-09-17 20:03:11
24
samson_derick
Samson :
vile inafaa hata angekumwagia simiti kidogo😂
2025-09-17 12:01:12
166
d_myticbwoy_ke
@D_myticbwoy_ke :
nashidwa hio ninja imeona nhn akh😳😳....mie Hadi nkupate umetoa guo cwez mbao
2025-10-13 07:27:13
1
_pablokm
_pablokm :
peana number ama ununue mawe yako😂😂
2025-09-17 11:56:19
139
bigsilkenya
Bigsil :
Unakalia mawe aje? Enda restaurant msichana na uwache kua pety
2025-09-17 15:08:40
51
joshua.owila
Joshua Owila :
hata angekupiga na mawe😂
2025-10-26 09:27:27
2
charlwmzvb6
Bongino :
Wewe unakalia mawe kwani wewe ni lizard 🦎 😂😂
2025-09-17 12:01:53
21
vince09630
vince :
Najua hii story ni ya jaba, i just can’t prove it
2025-09-17 12:45:36
70
kimofficial6
Kim Kong🐒 :
toka kwa simu yangu!
2025-10-16 12:59:30
3
djspac0
Spaç🇰🇪 :
ingekuwa mimi hapo ningekutoa na Mamawe haziishi😂😂 prrrrrr
2025-09-17 21:06:07
2
mochilala8761
Mochilala :
waaah, wewe enda home ulale😂🤣🤣
2025-09-17 10:19:38
249
mc_collo4
COLLO MC :
juu umenyimwa kukalia mawe, si ukuje basi unikalie uso, nitapumua n masikio😂😂😂🤭
2025-09-18 15:21:54
3
thatsoftsoul0
🌺Essybrown254 :
Hajafanya poa…mimi ningekulenga na mwe adi😩😩😂si umpee tu number na umblock…
2025-09-17 21:17:32
0
_nyambura16
I'm nyambu 😻🇰🇪 :
Mimi number utapata but kunipata on call ni kwa ndoto tu 😌
2025-09-18 06:46:11
0
teematara
Mr Tee :
sasa unataka akulambe na akuna kitu unamsaidia
2025-09-17 18:43:17
2
xandei_ke
xandei_ke :
toka apo haufai ata kusimama apo pia😂😂
2025-09-17 13:14:53
15
rjay.254
R-jay 254 :
we ulikuwa unaenda huko kwa mawe kuduu?
2025-09-17 12:53:39
15
winniew77
winnie :
mwengine Ali nikatia nika kataa akaniambia una ringa nini na vile ume konda🤣🤣🤣🤣
2025-09-17 12:23:28
6
its.mgh3tt0
SmoothKi1ø👑 :
enda unyambe uko, enda uuze uji😏
2025-09-17 12:26:29
54
To see more videos from user @crazy_mistake28, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About