@lillianwangui_: Hata ukitumia family planning, you can still have kids when you're ready. Don't let myths mislead you!! #MythvsFactKe #familyplanning #fyp #women #kenya
wangapi wanatumia pills after kuacha wakapata mimba
2025-09-18 17:09:50
150
Bellah :
N kama ilikuwa ya 5 yrs uitoe before mbn inakuwa ngumu kupata🥲
2025-11-09 20:31:42
0
Neema :
mwenye alitumia depo alete ushuhuda before niweke
2025-09-19 06:14:15
50
🥹bree💜 :
na ukitumia p2 like 5 times😢😢
2025-09-19 10:21:39
17
Faysalva93 :
nliwacha kutumia family planing 5yrs ago na sijawai pata mimba
2025-10-28 06:41:26
2
Veronikah :
someone to tell me about femiplan plan hizo za brown pia inamezwa
2025-09-18 15:11:49
13
Sylvia Nkini :
Dr.Lilian placed me in Depo and after three years i got my second baby.
2025-09-18 17:52:16
1
polin nandoya :
kuna mtu alisema when you stop using fp uoshe tumbo ndio ikue easy kupata mtoto how true is this
2025-09-19 02:34:14
6
lydiaccjjkw :
mm nlitoa coil nmepata 2 miscarriage
2025-09-18 17:03:52
5
Sabina :
is it normal to miss periods for 2 years
2025-09-18 15:02:06
61
mwende musyoka 💗💗 :
I used depo ,nikatoa Niko n 7 months with no period
2025-09-18 17:44:50
6
@mellowajema :
na wenye wansema implants zinaleta cancer n ukweli ama tena n myths?
2025-11-16 16:31:13
0
N.J.E.R.I💍💕🧚 :
nilidungwa depo onces sai Niko na years na sijaipata mtoto
2025-11-13 15:13:21
0
chrissybae❤️❤️❤️ :
immediately nayo ni uongo
2025-09-19 09:13:21
5
WUODNYASEMBO🥰 :
can I inbox you madam I have a burning issue please 🙏ineed your help 🙏
2025-09-19 02:41:17
0
nyambu034 :
which is the best family planing with someone who is hypertensive
2025-09-21 06:41:52
2
GOD'S CHILD❤ :
what about depoprovera
2025-09-18 14:12:46
6
krypsmoryn :
tell me why 2 FPS have failed ,
after my first child I got the3 yr implant failed after 1yr 7 months..
after my second child I started getting the depo after an year got pg again
2025-10-14 00:01:06
1
Thomas Kangogo :
Na ukitumia inahaaribu mwanaume
2025-11-13 21:27:46
0
k. k_lastborn :
hii nmekataa mm nimetafuta mtoto hadi leo sijapata maybe munisaidie
2025-11-13 12:49:38
1
Fai :
Doctor Hye Mmi ni Dame Sjai Zaa Nafaaa Nitumie Family Planning Kama.Sijazaa Ama Nitajiaribu
2025-09-18 17:06:36
0
Josie Rash Phasee :
wooi, si tunaambiwa tutapata. cancer😫😫😫
2025-11-11 10:49:27
0
Edduh@035🇰🇪 :
mnaconfuse wamama sasa
2025-09-19 06:37:57
143
lydia msilm :
me nilikuwa natumia na nikawacha sai n 5months na ata sioni kitu
2025-10-23 10:40:43
0
To see more videos from user @lillianwangui_, please go to the Tikwm
homepage.