@cbeny79: It's detox time, fresh roots, fresh energy #detox #locdetox #dreaddetox #Love #dreadlocks ❤️❤️
cathykizzy
Region: TZ
Thursday 18 September 2025 13:06:30 GMT
Music
Download
Comments
twinnabeauty :
Jaman kwani inasaidia nin naomba kujua jaman🤔
2025-09-18 15:53:04
9
brendafass :
nishingap kuosha hivyo
2025-09-19 13:48:21
1
limao inasaidia nini kwa dred
2025-09-21 15:21:08
0
anee🌹🤌 :
marination
2025-09-21 01:55:39
3
Suzy Rha...💓 :
ukisha maliza kuifaya ivi utatumia maji ???
2025-09-21 12:48:50
2
Officially mnyamwezi :
vaa japo calavsii kwa afya yak🥰
2025-09-21 08:16:23
0
Ditte :
Usisahau chumvi na swaum😂😂
2025-09-20 08:35:00
6
🌹Z.U.H.L.Y🦋🦋 :
kha kumbe vinegar na limo ndio kazi zake pia😂
2025-09-20 13:02:38
0
NancyJohn82 :
Naomba namba zako
2025-09-18 21:53:40
1
Azar :
mko wapi
2025-09-21 12:23:33
1
diron mom :
bado nyanya na kitunguu
2025-09-20 14:10:04
1
Mrs.Sabe :
zimejifunga vinegar na limao inatoa huo weupe na kuzifungua
2025-09-18 18:54:50
2
queen me :
😁😁😁mbn pili2 hamjatia
2025-09-20 17:39:44
2
Mwanaidi Mohamedi :
ukiongeza vitunguu na nyanya ushapata kachumbali 😅🤗
2025-09-20 19:14:31
5
shivania2020 :
mpo wapi?
2025-09-20 13:55:28
0
1221 :
Leo supu bira limao kumbe mmezimliza nyie
2025-09-19 13:21:31
1
queenscrochet___ :
Next🔥🔥
2025-09-25 07:36:48
1
Editor Mosha🥀 :
ndo maana malimao yamepotea
2025-09-21 12:21:14
1
Official_CK :
Naon nywel znafuliw na kuwekw viungo
2025-09-18 17:46:24
2
nusi :
mkimaliza zikaange
2025-09-20 22:26:45
1
gloryshirima278 :
Me nambieni hii ngozi yangu naweza itibu na nin maana hata nikibana naumia na kutoka vipele
2025-10-05 16:05:08
0
😂😂😂 :
mchapuzo wa nywele
2025-09-21 11:19:19
1
naomikakingo :
Limao limeshshafikiwa kwenye kazi nyingine sasa
2025-10-01 15:55:05
0
junnah :
huo weupe ni nin alafu ndo akakamulia limao
2025-10-05 14:03:09
0
To see more videos from user @cbeny79, please go to the Tikwm
homepage.