@nturamaster: Mgombea lazima atimize ndoto na malengo ya watanzania bila kujalisha anatoka chama gani, Mwl Julius Nyerere 🇹🇿 #tanzania🇹🇿 #tiktoktanzania🇹🇿 #viral #goviral

Ntura Master
Ntura Master
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 19 September 2025 09:29:25 GMT
305842
7900
173
2001

Music

Download

Comments

masanjamvine
masanjamvine :
hawa wanaojifanya wanayaweza ngoja tupindue nchi watafia mbali
2025-10-14 07:03:25
3
shujaahamad851
anna :
ccm inadangula tu ata haisikilzi wana nchi
2025-10-13 19:22:24
2
felistermganda0
felistermganda732 :
hivi wanasikilizaga kweli hozi sauti
2025-10-12 20:59:47
0
user6582719003008
Mr transporter :
huyo mzee katuachia maneno mazto
2025-10-05 03:46:37
21
jamesjackob
jamesjackob419 :
Amen baba, hakika ulikuwa mzalendo kindakindaki uliipenda Tz kama family yako
2025-10-09 16:33:28
3
193issahgwau
@capten Tesha :
mzee alikuwa ginues sana alijua yatakuja kutokea aliona akili ya kikwete🤣mapamaaaaa
2025-10-05 10:59:05
16
drallyaljabri
dr ally aljabri :
Tunajivunia aman ya nchi yetu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2025-10-05 13:35:42
3
tnezsonkhaltufma10
FALSAFA NA HEKIMA VIMESHINDA :
Hivi wanaaangaliaga kweli hizi hotuba 🤣😅 au ndio wanaigiza viziwi
2025-09-24 17:55:08
9
user9165335214775
Happy Kissa :
Baba alikuwa na Maono sana, endelea kupumzika Baba wa Taifa Tutaonana Asubuh njema
2025-10-14 05:29:57
1
lazaro.robert3
Lazaro Robert :
kweeeeellll babaaaaaa
2025-09-21 22:00:42
4
user2251824782914
Datuluedward :
nikwr mzee tutakumbuka meng xana
2025-09-24 09:26:21
7
lilianlilian39
lilianlilian39 :
baba aliongea
2025-10-05 13:28:51
5
danielamisi253
mweula :
mzee huyu alikua ni nabii wa kisiasa,halafu hawa wanazomea tu bila kujua matukio kwamba ni mazito
2025-10-06 13:47:25
2
allynkusa
allynkusa :
ni kweli kbs
2025-10-04 10:10:47
3
abdallah.issa38
@kgcomedy :
ccm hawamu hii imepotea zaidi .... mwalimu atabaki kua mwalimu Ila mwanafumzi .....
2025-10-11 19:43:03
4
calorinarashid
calorinarashid :
kama alijua kitakacho tokea 2025 kumbe wana nnchi wapo sahii
2025-09-28 04:51:23
4
dadyfilbert
Dady Filbert :
maneno yako yanaishi milele
2025-10-01 05:38:35
5
estermwalubunju
Ester Mwalubunju :
ndio ndio
2025-10-04 09:56:39
3
husnaedward0
husnaedward8 :
Asante mtunza kumvukumbu
2025-10-10 04:13:18
1
user95581588242380
[email protected] :
ukweli ndio huo viongozi wa nchi jitambueni
2025-10-05 17:49:15
4
bata_mkubwa
bata_mkubwa :
ndio tutachagua
2025-10-05 09:33:59
3
mlanzifumagani
Mlanzi Fumagani :
mzee alikuwa anaona mbali sanaaaaaa
2025-09-24 10:48:42
4
user1261681038390
JUSTINE😎 :
mzee uta fufuliwa tu
2025-09-27 06:02:04
2
grandmassawe22
GRANDMASSAWE22 :
Ameongea kwa Wakati huu tuliopo!!!!! Utimilifu.
2025-10-07 10:03:44
3
upendosiwandeth
upendo siwandet :
kama aliona yatakayo tokea2025
2025-09-27 11:46:15
5
To see more videos from user @nturamaster, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About