@zebra_restaurant_: V.I.P BIRTHDAY A) V.I.P BIRTHDAY COUPLE IDADI: Watu 2 VENUE: Zebra V.I.P Room...booth unapewa moja tu MUDA: Masaa 4 Maximum BEI: 100,000( bila mapambo) *MAPAMBO UNAONGEZEA 50,000/=* >YALIYOMO: keki 1/2 Kg, Kaukau Wings, Kaukau Drumsticks, Kuku Sekela, Kuku Lemon, Russian Sausage, Chips Mayai, Pilau au Biryani, Loaded Vuruga yenye Cheese na beef/chicken/sausages, Mishkaki ya Nundu na Fillet,Zabibu nyekundu au zabibu za kijani, Korosho Roasted, Fresh Strawberries. B)V.I.P BIRTHDAY CLASSIC IDADI: Watu 6-8 VENUE: Zebra V.I.P Room...booth unapewa moja tu MUDA: Masaa 4 Maximum BEI: 180,000( bila mapambo) MAPAMBO UNAONGEZEA 50,000 >YALIYOMO: Keki 1KG, Kaukau Wings, Kaukau Drumsticks, Kuku Sekela, Kuku Lemon, Russian Sausages,Mishkaki ya Nundu, Mishkaki ya Fillet, Chips Mayai, Pilau, Biryani, American Chips yenye boneless Kaukau Chicken breast, Loaded Vuruga yenye Cheese na beef/chicken/sausages,Chips, Plantains(Ndizi mzuzu) Zabibu nyekundu, zabibu za kijani, Korosho Roasted, Fresh Strawberries. C) V.I.P BIRTHDAY NYOMI IDADI: Watu 10-15 VENUE: Zebra V.I.P Room...booth unapewa MBILI tu MUDA: Masaa 4 Maximum BEI: 300,000( bila mapambo) MAPAMBO UNAONGEZEA 60,000/= >YALIYOMO: Keki 1KG, Kaukau Wings, Kaukau Drumsticks, Kuku Sekela, Kuku Lemon, Russian Sausages, Chips Mayai, Pilau, Biryani, American Chips yenye boneless Kaukau Chicken breast, Loaded Vuruga yenye Cheese na beef/chicken/sausages,Chips, Plantains(Ndizi mzuzu) Zabibu nyekundu, zabibu za kijani, Korosho Roasted, Fresh Strawberries >YALIYOMO EXTRA: Nyama ya ng'ombe fried, wings and Drumsticks fried, Kaukau chicken mzima, Nyama ya Mbuzi Choma, Chips Mayai, Chips Plain. >YALIYOMO SPECIAL KWA PACKAGE ZOTE: Special Mojito Tower Jug and one refill option kwa Package ya ya NYOMI,BIG MOJITO GLASS kwa package ya COUPLE, Bluetooth Speaker na 2 Karaoke Mics, Free High Quality Camera Videos and Pictures, Free Reels and Contents, Dedicated waiter (muhudumu atakaekuwepo kwa ajili yenu tu), Venue yenye AC. NOTE: WEKA ODA SIKU MOJA KABLA AU SIKU NYINGI KABLA, ODA ZA SIKU HIYOHIYO HATUTOPOKEA KUTOKANA NA UKUBWA MAANDALIZI. NOTE:HATURUHUSU POMBE NOTE: SIO LAZIMA UWE NA BIRTHDAY KUPATA HII HUDUMA, SHEREHE YOYOTE YENYE KUANGUKIA IDADI HIYO YA WATU UNARUHUSIWA. NAMBA ZA KUWEKA ODA NI: 0688 151783 0658 722393 0764 689647 0745 117440 0680 013801 WHATSAPP 0688 151783 TAFADHALI TUPIGIE, USITUME SMS ANGALIZO: ukiona tunachelewa kujibu whatsapp tafadhali tupigie kawaida kupata huduma yako kwa uharaka. LOCATION: TUNAPATIKA KINONDONI BIAFRA, "MTAA WA ATLAS ROAD"... Kwa BOLT, UBER au GOOGLE MAPS andika "ZEBRA RESTAURANT DSM", NAMBA ZA SIMU ZIPO KWENYE BIO YA PAGE YETU HII.
ZEBRA RESTAURANT
Region: TZ
Friday 19 September 2025 11:56:53 GMT
Music
Download
Comments
Rosemary Chidumule :
hiyo combo bei gani
2025-09-19 12:05:46
0
Salma :
😍😍😍
2025-09-20 17:48:22
0
Mrs Elia💍❤ :
watu wangapi iyo nanibeigan
2025-09-24 13:26:13
0
To see more videos from user @zebra_restaurant_, please go to the Tikwm
homepage.