me kuna dame alileta gari garage akambiwa spares na labour 8k alipigia jamaa watatu na wote walituma 8k 🤣🤣🤣🤣 wanaume hujifanya werevu but a
2025-09-21 06:21:15
1777
imunya7 :
nilipeleka mwingine 4 trips to different men.the whole day
2025-10-07 05:14:03
588
Adrian Mola :
hii story haimake sense. so alikupea 1000 ndio alipwe 900??? 🤨
2025-09-21 16:04:35
9
@Brianpeter_ :
Wangu alitoka Kinoo ha Ngong na 20 minutes... Hadi waleo najiuliza kama kuna express way ya Ngong to Kinoo
2025-09-22 13:30:39
99
Douglas Mose :
sasa Kwa 1800 akakupea 1000?? Tafuta content ingine bro!
2025-09-21 10:40:49
157
kariukimuturi :
Kuna Dem juja amenunuliwa plot ya 1.5M na 3 men each man analetwa anaambiwa babes Niko TU na 1M niongezee 500K aki isiuzwe😂😂😂 wanaume ni mafala
2025-10-07 04:51:34
304
🐾Your_Favourite_Villain♛♡ :
huezi eka siri wewe
2025-10-08 06:41:32
600
ARSENALBABES🥳💘 :
as long as you ain't single usiwai cheka mwenzako ju possibility ya pia wewe kuchezwa ni 99%
2025-10-08 13:44:53
262
Alano :
unachekelea ninja Na dem wako pia anakucheza same same Ona hii raiya🤣
2025-09-20 17:35:54
609
malindi creative 🦋🔥 :
nmejua ni uongo vile umepewa thao kwa 900
2025-09-21 08:07:52
25
Sodabaridi :
Hapa ni 87 sio rongah 😹😹
2025-09-21 06:31:36
12
Young Billionaire :
nakuaga nmetenga 500k ya umalaya😅😅😅sasa dem akidhani ananicon 😅😅hajui anakula budget yake na hao wengine😅😅😅
2025-09-22 03:28:41
86
GM (є∂ιтσя)🌐||👁️🗨️ :
swali wakuu, kuna madem wamebaki wenye sio malaya
2025-09-21 06:58:15
67
samsteppa0 🇰🇪 :
ulihongwa 1000 trip ya 900😳ok
2025-09-20 17:23:48
78
panther 🇲🇫 🇰🇪❤️ :
hlf uniambie ni trust madem wakenya 😂😂😂
2025-10-10 06:35:00
12
MJ🇰🇪💯 :
You can get that money back but she can't get her innocence back,so pesa ni karatasi utapata ingine,ata wewe unafanyiwanga ivo bado na wife anakuitisha doo ya kitu na anafanyia something else
2025-10-08 14:41:43
30
Charity Wandili 254 :
Nikijaribu kucheza niko sure nitashikwa😅😅ama sijui niko na a good heart😂😂
2025-10-09 04:57:21
20
Njogah :
hehehe save number yake... uyo ni repeat customer
2025-09-20 17:27:47
277
atienokisiara :
na mkipata MTU faithful pia mnaonanga ni duazi so wacheni Tu mchezwa
2025-10-09 10:10:12
75
Sarah 🥰❤️❤️ :
😂😂😂😂ebu kula doo uwache mbwembwe 😂😂😂😂😂😂
2025-09-20 19:11:02
11
AGIDA :
ooh kumbe ilikua hivi my friend sawa 😅😅
2025-10-08 18:12:28
2
Deejay Laz 254 :
Wanaume wengi ndio hufanya madem wa behave vile hubehave, kuna story mob ya madem kutumiwa doo bila ata kuulizia😂 yani mtu ako na akili anaamuka asubuhi anatuma pesa
2025-10-07 01:31:43
11
Bonniefaceilla :
So 900+900 is 1800 then akakupea 1k akambaki na 800 ...unatuona matako yako..
2025-09-21 06:20:28
8
To see more videos from user @abel.uber, please go to the Tikwm
homepage.