@radiomariatanzania: "LEO NIMESALI KWA AJILI YAKO, KILA MMOJA NIMEMKUMBUKA NA NIMEMWOMBEA" Sehemu ya hotuba fupi ya Mhashamu Paulo Runangaza Ruzoka, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Tabora wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Jubilei ya Miaka 50 tangu alipowekwa wakfu katika Daraja Takatifu ya Upadre. Misa Takatifu imeadhimishwa katika Viwanja vya Solomoni, vilivyopo nje ya Kanisa Kuu la Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu - Jimbo Kuu Katoliki Tabora. . . . www.radiomaria.co.tz #RadioMariaTz #Mahujajikatikamatumaini