NI MUDA WAKO SASA EWE MFANYABIASHARA KUITHAMINI BIASHARA YAKO KWA KUTUMIA LOGO YA KIPEKEE ITAKAYOKUTAMBULISHA KIMASOKO
LOGO INAMCHANGO MKUBWA SANA KWA MFANYABIASHARA
1] INAKUSAIDIA KUKUZA BIASHARA
2] INAONGEZA UAMINIFU KWA WATEJA WAKO NA WATEJA WAPYA
3] INAKUPA URAHISI WA KUITANGAZA BIASHARA YAKO KWA KUTUMIA LOGO YAKO
4] INAKUFANYA UNAKUA WAKITOFAUTI NA WAPINZANI WAKO
5] INAKUSAIDIA KUPATA WATEJA WAKUJIRUDIA RUDIA (WATEJA WENGI WANAKARIRI LOGO YA MFANYABIASHARA
HUU NDO MUDA WAKO SASA KAMA MFANYABIASHARA ANAEIPENDA BIASHARA YAKE
KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU KABISA
NB:KAMA AUJAWEZA PIA KUFANYA MAAMUZI YA JINA LITAKALOKUA LA BISHARA YAKO BASI UKIFIKA KWETU TUTAKUPA USHAHURI KUHUSU JINA LITAKALOFAA KUENDANA NA BIASHARA YAKO ,NA PIA NI MAMBO GANI UYAZINGATIE ILI KUIFANYA ACCOUNT YAKO IWEZE KUKUA NA KUTHAMINIKA NA WATEJA WAKO
KARIBU SANA 🤝
2025-09-30 09:09:27
0
Saymah08 :
Dada nataka hio black plez
2025-09-22 13:23:22
0
da G :
naitaka black
2025-09-22 12:44:45
0
Rebecca :
Bei gan dear
2025-09-22 09:35:57
1
Aishavijora :
Bado zipo
2025-10-09 11:45:49
0
carenbeaty 💗 :
bei gan
2025-10-01 11:39:14
0
To see more videos from user @marthamimar, please go to the Tikwm
homepage.