@terwa943: Pastor Daniel Mgogo

Terwa
Terwa
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 22 September 2025 12:53:36 GMT
230006
9646
178
3672

Music

Download

Comments

belkems
@kery105❤️ :
basi hasira yangu ni ya mkisii lazma nitende mabaya ndo itulie🤣
2025-10-18 20:22:21
7
flo.mc.kawaya
flo mc kawaya :
si huyu pastor akuje Kenya siku moja
2025-10-19 17:45:08
13
mbonimpa.laetitia
Mbonimpa Laetitia :
Asante kwa mafundisho mazuri
2025-11-19 05:08:53
0
user68330091
Joy :
aBarikiwa mtumishi..mmi niko nafence🥰🥰
2025-11-23 18:08:18
0
dady_junior.wwtz
dady_junior😎🤏 :
ila so wote pasta,,wengne wanasumbuliwa na upwiru ndo maana wanakaa na asira asira😔😂😂
2025-10-26 10:37:02
1
user1536771512146
kiki :
ata ya wameru??
2025-10-20 15:19:01
0
user6313786760379
user6313786760379 :
Ninayo asira mpka hakuna anaweza kunizoea
2025-10-21 12:34:59
0
martha.makuke
Martha Makuke :
ndo mtu akae siku 3 hamsemeshani
2025-10-19 18:44:02
1
gladys.charo62
Gladys Charo :
Ameen mtumishi wa mungu
2025-10-24 11:44:43
0
tinamwash
Tinamwash :
nimependa hii sana baba
2025-10-26 07:50:35
0
groly61
groly 123 :
ndio mtu akununie kalibu sasa😢
2025-10-22 13:51:44
0
lizzy_fashion17
Lizzy_one🌟 Lizzy 💖 :
kuanzia Leo nakanusha Ile kauri ya kwamba hasira hasala🙌
2025-10-21 11:13:57
0
user4193813798844
Rotshang :
aki baba umenitiya moyo nilikuwa nazani mimi ndo mbaya kwani sitaki mtu kunileteya upimba asira yangu utayiona kabsaa
2025-10-27 15:07:44
0
user5396877542229
Cate David :
this is my prayer item mungu aniondolee hasira aki itanipeleka motoni,pastor we acha🤣🤣🤣
2025-10-26 12:45:24
0
8kstudio1
8K studio :
huyo nimwalimu kwakweli
2025-10-14 09:31:15
2
january.rashid
Jmt- briller :
Sasa Je lile andiko linasema hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu Je hasira inatakiwa ikae sehemu gani??
2025-10-24 14:17:41
0
allan.aquinas
Allan Aquinas :
siķu moja utakunywa maji barid ukweli kabisa
2025-09-24 05:58:28
4
user2010418524734
Bernadette :
asante sana pasta umenibariki kabisa niko mumoja wao
2025-09-25 16:52:05
1
paulshiveka8
paulshiveka1 :
hii nayo ni Kali huyu kweli ni mchambuzi
2025-09-23 13:26:31
9
user1475515939395
Esther Espoir :
asante sana muchungaji
2025-10-21 23:27:12
0
emile_nsengiyumva
Tembo Aluminium Ltd :
pastor akili yako ni kama ya Salomon
2025-10-18 23:08:09
2
madam.trillions
Madam Trillions :
hiii nitacheka hadi kesho😂😂😂😂
2025-10-21 16:09:38
0
user53611118111327
cristopermukumu :
hio ni kweli tena tunaambiwa tuwe Na asira lakini tuwe Kwa kiasi
2025-09-24 17:20:25
2
user7576927880705
Maua :
hili jamaa na leo tena limesema ukwel 🤣🤣🤣
2025-09-24 20:30:44
2
annet_salama
Sally kadzo :
true
2025-11-11 10:13:32
0
To see more videos from user @terwa943, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About