@dorcasymaryam:

mima
mima
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 23 September 2025 10:45:13 GMT
61078
1544
100
53

Music

Download

Comments

jaceleestarnzilouce
jacee :
kama ni Hela Yao wanataka weseme wataz tunachanga siku moja Chap mama apt hak yak
2025-09-23 18:22:42
29
hustler_949
Ms.Hustler🦋 :
Hivi kwenye msiba si wanaulizaga anaemdai marehemu 😭
2025-09-23 14:44:23
33
shinegerl1
shine gerl❤️❤️ :
alikua wap siku ya msiba man hua wanauliza kua nan anamdai malehem kwan hakuepo msiban
2025-09-24 18:07:52
1
jadest434
JADEST :
kuna mchezo hapo hyo mama namjua jamn mke justus rugaibura
2025-09-23 14:10:26
10
f.a.r.i.d.a03
Farida fabrics🎀🎀 :
kumbe ni mke wa rugaibula duu
2025-09-23 18:44:45
5
praxcedamushi
Praxceda Mushi :
kwelii mjumbe anakili Sana huyu
2025-09-24 02:30:21
1
____isiah___
@isack :
Mjumbe kanyooka sana…
2025-09-23 18:03:45
9
hiphopnext
Hiphopnext :
Hao ndio wanaoiweka Serikali mfukoni .Adam yao.Wajumbe wanazalaulika sana Nchi hii.
2025-09-23 16:30:27
4
frankshau
frankshau :
jamani kuna mugu mali zote tunakufa tunaziacha akuna anaezikwa na mali
2025-09-24 06:27:31
1
habibiz88
Real estate :
huyu jamaa mbona km karamba
2025-09-24 05:56:12
0
naahcutie1
Fyn 💕 :
Uyu mama haki atapata jaman save hii voice ya huyu mjumbe ili ushaid ubak
2025-09-23 20:05:55
1
nahuga9754
nahuga9754 :
ila mwandishi Kuna mahara umechapia baraa mungu akusamehe.. Mzee na mmewe tena😂😂 enewey mjumbe kanyooka
2025-09-24 00:52:43
1
michaelchambo70
milucha :
mjumbe nimekuelewa, point yako kuwa mjumbe mmemuweka wa nn kama mnayaweza hayo yote??
2025-09-24 02:58:41
2
smallnyash70
👑🦂BOSS YA MBOKA🇨🇩🇹🇿 :
Mzee kunywa mbege ntalipa 🍻🍺
2025-09-23 14:10:12
5
user7676960068669
Jong de frankieq :
mzee kanyooka,hataki upuuzi anachukuliwaje poa mjumbe
2025-09-23 16:31:50
15
pendo.adam0
Upendo cute :
Huyu bb yupo 🤙🤙🙌🙌
2025-09-23 18:58:29
2
castor006
castor006 :
agiza soda Mzee wangu
2025-09-23 12:59:53
0
anety.chao
Anety Chao :
wanataka mtapel uyu Dada
2025-09-23 18:32:36
0
monica.lyimo
Monica Lyimo :
mjumbe upo sahihi mungu akutunze daima 🙏
2025-09-24 06:10:29
1
user1531166161291
user1531166161291 :
mumewe alivyokwenda kukopa alikushirikisha?
2025-09-24 07:27:09
0
jovitha44
jovitha :
sheliya aliondoka nayo magu atuna sheliya kwa ss
2025-09-23 18:01:08
0
turkan01236
Erica :
Kwanza kabla hatujachanga tujue huyo mumewe alikuwa nani kwenye hii nchi?
2025-09-24 06:06:10
0
siprian.nyoni
EXXTATION :
mzee safi sana uko njema kabisa
2025-09-23 14:22:14
4
jadest434
JADEST :
wanaamua kumtapeli tu dada wa watu maskini
2025-09-23 14:11:07
6
acfary.mushi
Truck Driver🇹🇿.🇮🇪.🇿🇦 :
mnatakiwa kudownload hii video na kushare kwenye magroup huyu Mama kama ni haki yake lazima aipate
2025-09-23 18:06:55
2
To see more videos from user @dorcasymaryam, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About