# Nilimpenda sana na nikijitahidi kumjali Kadri nilivyoweza Hadi wazazi nikawambia kuwa Nimepata mchumba ila siku moja nilimuliza swali akanijibu kuwa majibu ninayo mwenyewe dah..!! gafla nikajikuta moyo wangu unatoka kwake now nikimuona namuona kama Malaya TU.
2025-09-29 06:55:07
0
Ericsson Rowanny :
aki mungu akulinde
2025-10-03 20:58:51
0
ntwale :
dada umeongea points kubwa
2025-09-25 06:03:21
5
Denson Partick :
umebaki wewe ndy mwanamke wa kweli dada yangu i love sites
2025-10-03 03:42:47
0
user93520360843564 :
uhakika kabisa sister
2025-10-03 09:40:18
0
rich class :
yeah upo sahihi dada
2025-09-28 19:40:24
0
Juma laizer :
daaaaaa mitano tena
2025-09-28 22:28:39
0
William Waswa :
walal nice one 👍
2025-09-26 19:14:03
0
juhud_ mwashitete :
sijui nikulipe nn maaana unagusa moyon
2025-09-29 19:54:58
0
kwassa 4G tz J :
🥰 good
2025-09-30 04:08:13
0
@jeradypatrick :
nakubaliiii dada
2025-09-25 21:06:42
0
kalonje :
volume iko sawa
2025-09-28 22:40:00
0
AlmEida PriNcE👑 :
RESPECT🫡 ❤
2025-09-28 10:37:47
0
baby_nana :
engeza volume
2025-09-30 05:17:01
0
bin chande :
muna anza kuelewa sasa
2025-09-27 11:49:34
1
ndaru :
safisana unge kuwakaribu nirikuwa nazawadi yako
2025-09-29 03:00:01
0
alenmtenda :
mitano tena
2025-09-28 18:50:39
0
Benson lemah :
Hata kama sina pesa lkn niheshimu 2 kama kichwa cha nyumba mama
2025-09-29 16:11:38
0
mtali jr :
KWELI dad upo saw
2025-09-24 20:19:47
0
user66293771150414 :
kma whote mungekiwa munajitambiwa ivyo ndowa zingedumu San 🤚 mitano Tena
2025-09-25 16:48:38
0
Bakari salum Chuma :
Kweli kabisa
2025-09-25 01:44:04
0
Mbago Sailon :
asante kwa ujumbe m,uri
2025-09-25 10:52:45
0
Machupichupi :
mitano tena dada
2025-09-26 03:17:08
1
azizi verrati 77 :
Yani tumpeni mauwa yake
2025-09-27 18:21:49
0
BANE :
sana
2025-09-25 11:01:10
0
To see more videos from user @jockerboy.255, please go to the Tikwm
homepage.