@agitech_expo: SIKU ZILIZOBAKI NI SABA SASA. 🗓️: 2, 3 na 4 Oktoba 2025 📍 Agitech Seedling Ground, Mutithi-Mwea, Kirinyaga County. Jiandae kushuhudia teknolojia mpya za kilimo, mafunzo na fursa za kibiashara zitakazoinua kilimo chetu. Usikose tukio hili kubwa la kilimo! #7daystogo #agitechgrandexpo #kilimo #kilimobiashara
Agitech_Expo
Region: KE
Wednesday 24 September 2025 07:31:22 GMT
Music
Download
Comments
everivalo :
my primary school best friend proud of you😍😍
2025-09-24 10:53:02
0
ruthwanjiru3523 :
I will be attending
2025-09-24 15:31:27
1
@Thee Professor :
entry fees ?
2025-09-24 14:49:41
0
pattkaranja7 :
I will be there
2025-09-24 18:31:25
1
ernest :
nice grip 😁
2025-09-24 14:26:30
0
Ephantus85 :
ornamental trees kama palms mko nazo?
2025-09-24 11:27:26
0
hellen waturu :
count me there
2025-09-25 09:02:22
1
patrickmccase :
order yangu umetuma
2025-09-26 10:17:49
0
frani Captain KE :
Nitakuwepo💯👍👍👍
2025-09-24 09:05:27
1
Lisa🥰🥰 :
Je kuna kazi???
2025-09-24 21:20:19
0
Edu culture boy :
wanawake si mnapenda gojet aki
2025-09-24 14:51:31
2
Gitonga1993 :
wanawake size hii hunifurahisha sana
2025-09-25 03:34:19
0
kesh :
hizo barabara ni za Dubai 😂😂😂
2025-09-24 14:24:46
1
✨🫅 MR MURANG'A TTI 25/26🦋💙 :
👌👌👌
2025-09-24 14:22:26
0
To see more videos from user @agitech_expo, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.