@simbapulsetz: Hii ndiyo Simba yenye nguvu ya kweli! Kocha Hemed Morocco akiwa na kikosi chake cha vita 🔥 tayari kulipua dimba la Benjamin Mkapa kesho dhidi ya Fountain Gate . Furaha hii 👉 ni ishara ya ushindi mkubwa mbele yetu #Simbapulsetz #SimbaNiZaidi #NBCPremierLeague #TeamSpirit #RoadToVictory