🥺🥺🥺Allah awajaalie mapenzi na uvumilivu wa kheri na dhati
2025-09-25 13:06:42
56
princessiddy7 :
Mtu umvumilie kama hivi halafu kesho akija kupata gari anapandisha wanawake wengine ww akusahau...
2025-09-25 15:13:12
21
Maabaly Da Silva :
Mi aliniambia ni some msahafu mpaka nikamaliza lakini akaolewa na muuza shisha dar...😭🥺🙌🏾
2025-09-28 08:04:06
1
𝐀𝐋𝐏𝐇𝐀 :
Huyu Sasa Ndio Mke Nataka
2025-09-28 18:45:08
4
swalhita_ :
Unaenda na mishe zako kumbe huku TikTok una trend 😂😂
2025-09-25 15:18:05
112
Abdul Manish :
💯💯💯💯💯💯💯💯znz miaka buku
2025-09-26 10:04:58
1
ruwaidasself :
alau nipate kma huyo muhimu niwe na furaha🥺🥺🥺
2025-09-25 04:40:21
84
user1529293792179 :
I love that song 🥰
2025-09-24 15:41:44
11
🌴Prince charming...69☆☆🌴 :
mashallah hii ndo kwa shida na furaha furaha yake furaha yngu kwa kingi kwa kidogo Allah awajaalie mema 🙏
2025-09-25 06:41:01
22
maryamudunga :
😂😂nikikumbuka nilipakizwa kwa basikeli njia nzima nilikuwa naanguka😂
2025-09-25 20:07:40
16
user9027675959784 :
tulipanda mpaka guta alivyopata akaniacha🥺
2025-09-25 08:59:10
5
Bazmul Junior :
Harufu Ni Mbili Tu Siku Zote Khe Na Bee Yani....HUBA🥰🌹🥰
2025-09-25 14:33:29
8
@jumajosh25# :
jina la nyimbo 🙌🙌
2025-09-26 17:54:46
2
Dr MAHA :
kila coment watu wanasifu mashaa allah ,ila siku ikitokea mwanmke kaolewa na mwanaume mwenye maisha hayo ata lia😁😁😁
2025-09-25 09:55:59
1
sagder :
akipata gari atamsahau huyu watapanda wengine 😂😂😭😭
2025-09-26 13:23:20
0
سعود 💎راشد 💎سعود :
daah wanawake wa mombasa hawezi kubali hvi .wao wataka wenye ma gari.😁😁
2025-09-25 06:26:16
58
#Mnyakusaaa 1 :
Wakupanda baskeli walikufa wote hawaa wa sai wataka V8
2025-10-02 02:30:47
1
Mozriyn Cikla :
kitu pekee nlichoona ni upendo wa kwel hauhitaji utajiri wa mali....bali unataka utajiri wa nafsi....hata wenye maisha ya chini wanafuraha kuliko matajiri....namuomba allah anipe ataenipenda kwel....nmejikuta nawapenda hawa🥰
2025-10-01 19:54:34
0
momme🥰 :
Kuna kitu unakosa kwenye ilo gari😁😁
mpaka unawatamania wenye baiskel🥰🥰
2025-09-26 11:56:20
2
SHEIN :
kuna mtu hapa hum eti huyu ndo mke😂 hata ukimpata baba wewe ndo kichef chef utakuwa kwa sasa ndoa zimekuwa na exp🤗
2025-09-28 19:01:33
0
丂ㄖ丂卂⚓ :
Si nipate na mm jmn wa hiv 😢😢
2025-09-27 15:14:38
0
100MORE♥️♥️ :
watoto wa kishuwa mtuwache kidgo
2025-09-25 07:38:38
1
perfumes_by_Absal :
Kikubwa furaha 💕
2025-09-25 07:00:08
3
To see more videos from user @abdulbasit_salim001, please go to the Tikwm
homepage.