@jakilini56: @Da 🌸jakikini😂🌸 #😂😂😂

Da 🌸jakilini😂🌸
Da 🌸jakilini😂🌸
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 25 September 2025 06:01:28 GMT
155286
6347
294
217

Music

Download

Comments

rhodalaurent8
rhodalaurent :
Had nimeliia🥹🥹 nimeskiliza kwa hisia sana nikamkumbuka mdgo wangu mungu akailaze roho yake mahali pema pepon🙏
2025-09-25 12:58:05
335
user14694626931811
mwadinitz :
mpaka nakuonea wivu jamani wale malastiboni mkowapi hatuna hata mdogo wakutuambia😔😔
2025-10-23 17:20:43
8
roco_boe
roco_boe :
mpokonyeni huyo mtoto simu
2025-10-27 03:45:35
0
mamanasri1
Mrs Said 🤍❤️ :
na wahehe hatuna utani kwenye familia zetu 😂
2025-09-25 11:44:35
94
usernanahmapoz0
nanah mapoz💋 :
nampenda mdogo wak anaakili kama mdog wang mcharuko jeny🤣🤣
2025-10-25 12:18:33
0
mumyra2
official mayra :
alafu kuna mdogo wangu mm nikimwambia nimekumiss anasema sijakumiss nitumie hiyo pesa ya shule uliyoniahid😔😔
2025-09-29 04:34:54
2
dadafeycorrection
Dadafey correction👠👕🩲👖 :
be dada jakilini si umwambie umekula fitofu😂😂
2025-09-27 05:07:07
31
miriam.online
My :
jamani mtoto anatuma voice note zote hizo humjibu kwann? bado anapiga hupokei? naomba umjibu
2025-09-25 08:11:55
68
stella.gilbert89
Stella Gilbert :
Nimnunulie mama simu sasa nicheke na last born wetu 🙏🙏
2025-10-24 20:14:34
1
sparkle_626
𝑆𝑝𝑎𝑟𝑘𝑙𝑒🌺 :
Da jack hajala Leo😂
2025-09-26 06:58:21
0
12arabell
Arabella :
Mandugu zangu 😏😏😏
2025-10-24 06:54:42
0
solva550
🧿 solvra🌻⚕️ :
😅😅huy n mdogo wang..mm moja bb mmoja🥰
2025-09-30 14:02:42
4
misslucie17
miss Lucie🖤💖😘💫 :
huyo ni mnyaru kabisa be dada si useme umekula nn? 🤣🤣🤣
2025-10-26 10:38:26
0
garcie13
Garcie13 :
dada jakilini🤣
2025-09-30 20:35:16
0
goldeneyes095
ROUH 🤍🦋💞 :
huyu ni mdog angh kbc jmn🥰🥰💕
2025-10-19 20:25:25
2
user0624798917
mpogole jam :
be dada..mhehe huyuuuuuu 🤣🤣🤣
2025-10-03 13:45:41
0
fahy_03
fahy_ :
Be Dada😆 Nyela kamwene🙌
2025-10-03 11:20:46
1
adventinahevarist
Tinasha Tee :
be dada jack mbn unajikatusa humjbu mtoto be😂😂
2025-10-01 08:04:51
0
pendocutte15
A💝love💫 :
uyo lola au
2025-09-27 19:54:00
0
cele60_
Feysal swaleh :
da Jack mbon humjibu mtoto
2025-09-26 07:02:04
0
aunt_ake_leila
zeyn :
da Jack 😂😂😂 jibu haraka haraka ila huyu anakupenda sana
2025-10-21 21:30:57
0
silviagustavo4
silviagustavo729 :
jaman mbn sauti kama ya mdogo wangu nimemis ghaflaaa
2025-09-28 00:01:48
0
thumaomar6
️M🦋i😍s😘s💞E😋y🤤e🤍s🥵 :
dada jackilini mm hawa wa dogo zako nawapenda❤️🥺sema tatizo naishi kenya😂😂🥺
2025-09-25 12:43:05
0
official.3a2u
Mrs mwanya 🦷🦷🦷 :
mm ad nishaanza kumgeza mdog wako anavyo ongea at home wananishangaaga wallah 😂😁🥰
2025-10-26 07:44:36
0
odoneyce
L.a.s.t B.o.r.n❤🔐 :
😂😂😂😂hiz dharau nini hiki nin hujib kwakwel huo wimbo anakugus kbx
2025-09-25 19:53:01
1
To see more videos from user @jakilini56, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About