sorry ikitokea pressure imeshuka inakuajee na inasababishwa na nini
2025-09-26 12:36:21
7
Minnahbeiby :
Kumbe siku hiz ukianza clinic unalipia vipimo 25000 vile vipimo nane na 15000 ya ultrasound=40000
2025-09-30 11:29:13
1
Glowree :
😂😂😂mm sijapewa elimu niliambiwa nisome uko ukutani
2025-09-26 10:01:42
26
user72265528839961 :
samahan doctor me nina mimba ya miez mitano sijawah enda klinik kuna shida
2025-10-07 08:23:44
0
Reen masian :
pressure inafaa iwe ngapi ndio iwe iko sawa mamaa ❤
2025-09-27 09:43:49
2
lorine883 :
nko na swali am a first time mum nauliza sindano ya mama ya tetenus hudungwa ukiwa miezi mingapi
2025-09-27 05:00:03
1
mdori mimi🥰🥰 :
jmn nilizaa mda sana 😅😅iv crinik tunaanza na miezi mingapi mnijibu pls😊
2025-09-26 17:56:41
1
veeechala :
mi sijapewa dawa za minyoo nifanyaje ninunue au nimsubri watanipa wiki ya 24
2025-09-26 10:41:29
2
rosantinamunah :
samahani doctor nina ujauzito wa miezi minne ila ninapata maumivu makali chini ya kitovu nikifany kazi au nikitembea nini tatizo et
2025-09-26 09:53:11
3
Travor :
inafaa mtu anaanza clinic mimba ikiwa miezi ngapi
2025-09-26 14:56:22
0
museo 🎭 :
nliuliza swali n haukunijibu
2025-09-26 11:34:29
1
Munir's wife :
jamani mm vyote hivo nafanyiwa clinic na saiv nna wiki ya 26 ila cjawahi kuchomwa sindano hata moja especially hii ya tetnac
2025-09-28 08:18:35
2
Mamuu James :
Dr nisaidie nimembiwa et mtoto ana uzito sifuri nifanyeje ultra sound imesem hivo
2025-09-26 10:39:12
3
hopestyle👩💻 :
Mbona mimi cjawai kupimwa tumbo anatumia vipimo vyangu vya utrasound kujaza vipimo vya tumbo ni sahihi??
2025-09-26 11:22:41
0
Esma Othuman :
Naomba kuuliza jmn, mwanangu Ana miezi sita na uzito wa 9kg lkn nashangaa nilivoenda clinic nessi kaniambia mtt haongezek uzito😳😳hii Ina maana gan ,,,na pia anatakiwa kuwa na uzito gani????doctor naomba jibu I’m confused wallah🥺🥺
2025-09-26 12:04:07
2
🌹Swammy_Mruthu :
Mie nimeenda hospital ya jeshini kwa huku mwanza mpaka homa ya ini nimepimwa wako vizuri aisee hongera kwao wanajali sana
2025-09-27 07:17:44
0
Anneyh :
na sindano za Tt huwa zinachomwaje?
2025-09-27 21:08:20
0
Theresia Joseph :
hivi ukianza private ukafanyiwa vipimo vyote unaweza nenda hospitali ya serekali wakakuhidumia msaada jmn
2025-09-29 04:44:26
2
magreth,lemelo :
na hizo elf 5 kila mwez saiv inakuaje mbn kwa magu ilikua bule
2025-09-26 11:39:40
10
PLATAH :
wangu ako n 3months sahizi n hjaanza kuenda clinic itasumbua?
2025-09-26 18:57:50
3
Mimu2580 :
🥰🥰🥰 My doctor
2025-09-27 05:00:40
1
Hannah💕 :
Presha inatakiwa iwe ngapi ndo iwe sahihi??
2025-09-26 10:16:28
0
lavenda :
Niko na allergy, my body is itching and swelling
2025-09-27 19:57:20
0
MISOSI HOUSE 🦋 :
Mjamzito anapaswa kuanza clinic mimba ikiwa na muda gani??
2025-09-26 18:07:23
2
Fatma Gullam37 :
Iyo sp siipendi
2025-10-04 14:52:52
0
To see more videos from user @dr.jessy09, please go to the Tikwm
homepage.