BRO DUNIA IPO SIKU ITAKUJUA NA KUTUFAHAMU WAAFRIKA
2025-09-29 22:07:13
0
Did Elia :
kwamwe huwezi kuwa na maendeleo kama haunauhuru uwezi kuwa nauhuru kama haujitambui huwezi jitambua kama haujui kipi nichakwenu huwezi kuwa na chakkwenu kama hauna zile tamadunizzenu asili yenu na ndichikinachowaunganisha nanguvu za asili yenu maana huwezi kuwa na maendeleo kama unajifungamanisha na tamaduni za waarabu na wazungu miungu yao inazidi kupata nguvu kwenye ardhi yenu kupitia ninyi wenyewe shtuka
2025-09-29 06:18:09
1
SOMBIDA MUSIC PRODUCTION :
nawausia ndugu zangu... tuache bangi
2025-10-09 16:44:39
0
Justine Mshangila :
Chionda mimi huwa nakufuatilia sana na huwa unasema ukweli naomba Mungu wetu sisi waafrika atupe uwezo wa kujitambua
2025-09-28 21:48:52
1
#Dr Chacha wa mifupa :
Endelea kuwafunguwa watu macho mie nimeshapona
2025-10-02 14:39:04
0
jay Dadi tz :
nikkweli
2025-09-28 08:39:49
1
masai@hair beuty.kariakoo :
Usiangalie sura.Ckikiliza fact
2025-10-15 09:43:43
0
Daud Abas :
kaka nakuelewanga san waamshe mafara waliyolala
2025-10-01 06:12:10
0
msg 204 :
nikama watusti Awana kwao
2025-09-28 12:06:33
0
Frank Ngowi :
Na warudishe mali zetu
2025-09-27 18:28:34
1
Mark Richard Tz :
VITABU ULIVYOSOMA NA KUVUKARIRI VIMEANDALIWA NA WANZUNGU
2025-09-28 21:07:06
0
digala :
uko sahii sasa ndugu
2025-09-28 22:16:55
1
Mr pasward :
Endeleeni kupotosha watu
2025-09-28 22:12:04
0
sam skills :
hivi asili yenyewe huwa inatabia ya kulipa mabaya kwa mabaya au
2025-10-08 18:02:23
0
Benedicto Sindano :
we chizi tumekuchoka hakuna mwenye kitu hapa duniani vyote tumevikuta na tutauacha fanya kazi za maana acha upuuzi
2025-09-30 08:02:27
0
washamss captain :
waambie ukwer
2025-09-27 10:42:40
2
Dady j.j :
yani afrika ningumu sana kuwapa elimu maana waamini ambacho wanacho leo mtu akiitwa jina hasani au jackson wanaamini hilo ni jina zuri na la haki ila mtu akiitwa jina mzizi mbich au kufa kuoga wanamwona mshamba😁😁😁
2025-09-29 05:11:56
3
Jimmy Mwasote :
😂
2025-10-02 11:23:52
0
user6100490678732 :
kweli
2025-09-28 04:25:45
1
Baraka Mtaki :
ukweli itadumi
2025-09-27 11:17:56
1
To see more videos from user @fikrahuruzamuafrica, please go to the Tikwm
homepage.