@rembwatv: Baby ukipata nakuchiti hiyo ni shetani yawa 🔥 dopekid for sale😭🤣😂🙌

𝐑𝐞𝐦𝐛𝐰𝐚 𝐓𝐯
𝐑𝐞𝐦𝐛𝐰𝐚 𝐓𝐯
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 28 September 2025 14:05:12 GMT
285897
16314
1576
3980

Music

Download

Comments

adelinedaisy8
darceyleigh53 🦋❣️🥰 :
hizi ni zile songs za lipa mdogo mdogo ama😂😂
2025-09-29 06:08:44
721
mweshtesh5
m.w❤️s💞h :
nimesikiza hii wimbo nikiwa ICU saai niko mochary
2025-09-29 10:19:10
353
okuchewuoimatin
Mc OKUCHE WUOI MATIN✅ :
producer nyamaza😂
2025-09-28 20:08:57
79
nitteree
nitter thestar :
mwenye Ako online sahi 10 10 tukisonga
2025-09-29 18:36:38
59
user9948688730884
hamisi kisinza :
usikanyage Tanzania nakuua 😂😂😂
2025-09-29 12:11:55
52
johns_006
THE💫SNITCH✅ :
uko free nkuje nkuue
2025-09-29 17:06:33
50
shustterswayans
simiash mash :
huyu anafaa apewe support vizuri ndio aende mbali na hii account yake ifungwe na ibaniwe ndio asirudi
2025-09-29 08:05:59
46
paloma.lindsey
Paloma Lindsey :
Na serikali imenyamaza tu😂😂
2025-09-30 12:48:05
37
user2122241814658
amorin must go :
wajaluo tuliwaambiaa mtairi onaa sasa madhara ya kofia kwa mjulus🤣🤣🤣
2025-09-29 11:43:55
31
siggyron
Siggy💦Ron👁 :
Na serikali imenyamaza tu😏😏
2025-09-29 10:41:46
20
winnie.niala
Winnie Niala :
umeamua kuaibisha wajaluo sio😏
2025-09-29 18:25:33
19
sharonmunee3
Sharon :
umeanza kuboo manze😏
2025-09-29 12:02:11
17
irine.wasonga
Irine Wasonga :
idwaro boka dopekid🤣🤣
2025-09-28 20:13:54
14
oscar.wrld3
@Oscar :
😂😂😂..... huyu jama anatoka wapi nimalizane na yeye....
2025-09-29 15:47:09
12
felix_ochido
Felix Ochido :
hii studio ifungwe mara moja
2025-10-02 11:06:43
12
aleko182
Aleko :
Mnipee panga alafu msonge kando 😏😏
2025-09-29 14:30:14
10
ireenbeiby
irene :
huyu tulisema tumsupport aende na asirudi na bado anarudi tu😂😂
2025-09-29 09:26:18
10
user6354030699438n
user6354030699438nyar nyakach :
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔are you okay
2025-09-29 15:31:57
8
hebraw2
hebraw :
hii nyimbo usiitoe kabisa acha ibaki huko huko kwa producer
2025-09-29 19:04:47
7
charie.ee
Chichi :
si lazima ureply messages Na nyimbo yawa 🤣🤣 umezidi 😩😩
2025-09-29 15:26:17
7
user52146080447452
sniper :
neyegima lembee okuotni. uko na ushamba mingi gunia hii
2025-09-29 01:33:45
7
deborahsilali
Debby54 :
🤣🤣🤣🤣🤣WA kumi kumi sahi nalipa
2025-09-29 16:35:18
6
user9124513465730
cleo :
kwani kuna outbreak ya hizi songs last time tena ilikua ya Diana B.😂
2025-09-29 12:08:29
6
rozannekabs
Rozanne Kab's :
Itatoka enyewe 😂😂😂😂
2025-09-29 11:56:53
6
terryann505
terryanne 🥰💫 :
ukisikia ukiwa mgonjwa unakufa🤣🤣
2025-09-29 10:30:09
6
To see more videos from user @rembwatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About