Nishawahi kuwa na rafiki wa Sina hii those day nilimkimbiaaa😭😂
2025-12-04 04:53:44
0
Alice Ishengoma :
Mimi nina Ndugu wa Aina hiyo jamani anaomba Pesa kila siku niliposema sitoi Wakaungana kunisambaza vibaya
2025-10-22 12:46:35
4
muusweet makeup artist :
ha ha depression is real jamn nshawah kuw na uyu mtu usipojikaza anaweza kukuuua
2025-10-14 13:36:32
4
jay_josh :
hapo kweny mpenz😩i even prayed to God ambadilishe ila wap
2025-11-14 19:35:46
1
Jack perfume :
Kama ni mzaz wako je 😭
2025-10-20 20:27:58
0
Forever young ♥️ :
Yote ni kweli kabisa ✅💯💯💯. Lakini hunge funga video tuweze kusave tutume kwa jami wapate funzo
2025-09-29 15:26:35
1
margie🤍🎀 :
AF wanaaminika Sana wewe ndo utaonekana mbaya,mpk Ije ijulikane huna kosa muda ushaenda ushaumia weee
2025-11-10 14:47:28
3
B.E.T.T.Y 🦋 :
true and that's me
2025-11-30 04:29:12
0
Beatrice :
me nimebezi sana kwenye kupendeza 😂😂😂 umependeza Dada mzuri 💋 yaani hujawahi niboa kwa jumbe zako👌👌👌 Sema huwa unapotea alafu unaibuka tena ila Nakupenda ❤️❤️❤️❤️❤
2025-10-19 12:36:42
0
Winnie Poul :
😂😂😂yan nna ndugu yangu yuko ivo kila saa anataka ajue unafanya nn biashara flan imeishia wap ipo imekufa yeye muulze tu watoto wako anaendeleaje utaulizwa kwann umewaulizia tena uwe unamaelezo
2025-10-20 06:42:37
1
Eternal madame :
bwana ang mnaigeria kanifanya kibyaa sanaa😏😭🥺
2025-11-06 16:03:20
0
Amazing Grace🌹 :
i hope this content reach my mama coz ooh 🙌😢 hao watu wamemzunguka asee 😢 Mungu tuu amsimamie asee 🙏🤲
2025-11-08 17:45:26
0
Derin Momy💫 :
Wamarangu majirani zngu🙌
2025-11-14 21:00:29
3
christelle Maneno :
kama aka bwana kenye nili funga ndowa Nako ka laaaaaana tupu
2025-10-28 17:07:17
0
DAWA ZA KIHAYA :
kwani ni lazima kuwa na watu katika life?ukitaka amani ishi mwenyewe
2025-10-19 12:53:03
3
scopion_auralady11 :
Usiombe hizo mbwa ni sumu ya mamba ogopa
2025-10-20 16:13:53
2
umchrlz :
mhhh kweli
2025-10-01 14:33:40
2
happy.campbell25 :
natamani ni watag 😂😂😂😂😂
2025-10-21 18:18:26
2
Annet Massawe :
that my stepfamily
2025-10-19 10:56:45
1
Yoh🥰fav gal is here🥰💃🏼🦋 :
Oyaaaa an hawa watuu💔😈
2025-11-10 07:50:50
0
Neynzumi🇹🇿🇮🇱 :
Hii ni kweli kabisa 🙌
2025-10-20 01:46:56
5
Amiri Rajabu :
upo sahihi sana dada nimekutana nao kwel
2025-10-31 03:51:30
0
Aunty_Ika :
Omg i know some 😬😬
2025-10-17 10:47:52
5
Queen_ladymomo :
hapo kwenye wachony kazia kdg🤣🤣🤣🤣🤣
2025-10-22 08:50:52
1
To see more videos from user @doroting6, please go to the Tikwm
homepage.