NI KWELI ILA TUNACHOKA HATUNA BUDI TU....NA SAINGINE MTAHISI WATU WANAVUMILIA KUMBE MSHAACHWA HUMO HUMO KWENYE MIJUMBA YENU
2025-09-30 03:34:36
47
Mohammed Jaffari :
ukweli ni kua, mmakosa ya wanaume yanavumilika ndio mana wanaweza kusubiri. ila makosa ya mwanamke hayavumiliki ndio mana ndoa inakufaa. mzizi wa mzozo wa kosa la mwanamke ni kubwa sana na si rahic kulitaftia solution kuliko mziz wa kosa la mwanaume. ila nawaombea wanawake wakiislam wawe ni miongoni mwa wake wema. na muingie peponi kwa subra yenu...
2025-10-02 17:06:08
8
@cadette :
Kwakweli Bila kuwavumilia hawa viumbe huwezi maliza hata myezi mitatu 😳
2025-10-17 17:52:38
0
SAMBUSA :
Comments nyingi ni za wanawakeb😂 umewafurahisha lakini ukweli wa hii ni kua sio kweli. Umesema mwenyewe mwisho kwenye 1000 ni 1 tu mzuri
2025-10-17 14:50:56
0
Amina :
hebu acheni kutupa kichwa hatuna jinsi binafsi sina pa kwenda
2025-10-03 09:07:26
2
ZaituniAthuman :
subra inatufanya kutanuka mioyo. naumiv yanatengeneza kidonda moyoni. na kwa nn wanaume hawatuthamini?
2025-09-30 09:57:05
18
UNIQUE STITCHES🪡 :
Wanaume muogopeni Mola wenu yaani comments nyingi zinaonesha wanawake wengi wanateseka kwny ndoa zao,Em muogope Allah jamani ishini na wanawake Kwa Imani na mapenzi ,laa sivyo mtaulizwa Kesho na Allah.
2025-09-30 12:21:48
13
user9184907320817 :
shekhe naipokea hii Aamiin 🤲 kwa machungu sana 😭😭
2025-09-30 05:56:13
11
ChamDouta🦋 :
neno kuvumlia inafkia mwisho shekhe sawa eee🙏
2025-10-16 14:19:43
1
Abuu Salim mbarak :
ni kweli lkn kwa wale wenye kujielewa na mwenye khofu ya mungu na anaijuwa Dini yake vzuri na hao ni wachache elfu moja utapata mmoja.
2025-09-29 19:26:30
12
Abdul Karim :
sikweli?
2025-10-01 02:01:49
2
Sumaiyah😘 :
Allah atuzidishie subra inshaallah..
2025-09-29 17:45:19
13
Tushkhan♥️💋💯 :
kweli walahi
2025-09-30 03:18:26
3
Miss Boss 💝 ❤️ 💖 :
maashaallaah
2025-09-30 11:27:35
2
safarithebodyshop :
Ameen yarabby 🥰
2025-09-30 14:06:15
2
dyderwwse :
swadakta
2025-09-29 17:47:32
2
Love Kidotii :
Ni kweli ila ile subrah inaenda mwisho inakuwa sumu ktk mioyo yetu
2025-09-30 08:52:24
2
Zakia Ramadhan22 :
Allah atuzidishie subra amiin
2025-09-30 12:15:10
1
asha86531 :
kama ulikuwepooo😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆amiin amiin
2025-09-30 13:29:24
2
LadyB 001 :
Aamin aamin Allah azidi kutuhifadhi
2025-09-30 04:44:54
2
Aisha Jarufu :
Asante mung Wang kuniumba mwanamke
2025-09-30 06:30:37
1
Yuri 🥊 :
sheikh hapo kuna muda mume anavumilia zaidi kuliko mwanamke, na sio kila mwanamume hawezi kuvumilia
2025-10-06 10:04:30
1
saudaramadhani07 :
Allahum amiin 🤲
2025-09-30 10:46:54
1
Blvk_montanathedj :
Alhamdulillah,sawa eh🙏🏽🧕🏽🤭
2025-09-29 18:12:44
1
mine254 :
Allah atuwezeshe
2025-09-30 05:24:15
1
To see more videos from user @yacnalhaythamiy, please go to the Tikwm
homepage.