@nairobi_juice: Mackenzie a Kenyan Accoucher gives the difference between babies born through CS & Normal delivery 🎥: @Oga Obinna TikTok #trendingkenya #tiktokkenya #kenyan
my brother was born through cs lakini class ni wembe verrrrrrry genius🥰 muache mambo yenu
2025-09-30 13:36:24
138
Chebby k :
True,my daughter has eczema n acne,💯✅🙌🏻
2025-10-06 19:31:33
2
Msnjogucollections :
my blood sister and my sister in law wamezaa na Cs and they have very bright amazing kids very healthy..mambo ya uzazi ni ya Mungu tu..and may God help all the expectan mother's to deliver healthy kids whether CS or normal..
2025-09-30 10:04:38
115
merciekemmie :
Very true my baby amekuwa msickly saaaana eczema imesumbua sahii ni asthma
2025-09-30 10:34:38
22
Yusufnjosh :
I don't agree with this research.
2025-10-01 06:21:18
6
*UNLIMITED* :
mi najua wa CS wakona shape poa za vichwa compared na wa V.birth😂😂
2025-09-30 19:19:20
16
Dreamy Diva :
siri ni akizaliwa anusishwe kasusu apate hizo good bacteria
2025-09-30 18:32:52
7
dprmnk :
na ukipaka mtoto wa CS gut microbiome?🤣
2025-09-30 08:16:11
48
it's Feii :
na mi Niko na allergies jamani na nilizaliwa normal 😂😂
2025-09-30 09:00:20
18
Selina maya :
tulieni kila mtu atazaa vile anataka
2025-10-02 13:06:02
0
@Jimmy :
nashangaa mbona sinanga allergies kumbe ni vile mama yangu alinzaa kwa corridor ya pumwani 😂😂
2025-09-30 07:36:12
427
kristeen with a C😜 :
I was forced into this world😩karibu wanikate kichwa😭
2025-09-30 08:11:25
114
Panganini Betty :
cs pia wanakuwa slow 😂🤣
2025-09-30 11:36:35
6
Tina's :
naona reason why wangu akona issues na skin na allergies
2025-10-03 08:23:47
0
mzingiting2 :
Wamama wa CS wamejam kwa comments 😅😅😅😅Tulieni,,,
2025-09-30 09:29:38
154
Dawa-Flox :
my son is a genius wewe wacha mambo zako
2025-10-02 08:05:01
0
Vallery Krail :
sikuzaliwa through cs but ile allergies niko nazo woooooi ,can't stand perfumes ,dust ,cold ,sweat and all allergens.....and I was born healthy 😳😁waaaaaaiii
2025-09-30 09:50:54
128
ENGINEER E :
very true my daughter was born throu cs
weeeuh nilikiona
2025-09-30 08:49:47
8
MBALA🩵 :
vitu zingine aki SI za kuambia wamama,munataka tufeel aje
2025-09-30 15:20:22
0
️Njuguna Tee :
😂😂 kurusha maneno mzito haitafanya nikuamini
2025-09-30 08:15:01
18
Tabby Mwaura :
I had my first cs coz my son had strangle himself with the cord .The 2nd cs was coz i had trauma of anything happening to my baby. Mwili ni wangu and so are my sons
2025-10-04 12:42:36
0
Zuu :
my son Ako allergic na maji plus protein pia..... am aCS mum
2025-09-30 09:51:39
4
reny n :
The doc opted emergency cs juu my baby had tied himself with cord so all we pray is for baby and mom alive
2025-10-03 15:22:25
0
babie bables :
ndio maana zikuwangi sawa😂😂😂I always new
2025-09-30 14:30:57
2
To see more videos from user @nairobi_juice, please go to the Tikwm
homepage.