@djhansblessing_3: 🔥 THE CLASSIC EXPERIENCE🔥 Ni msimu wa burudani ya nguvu pale Zak’s Bay* – tunakuletea usiku wa kipekee wa muziki, na performances kali kutoka kwa mastaa walioteka mioyo ya wengi! 🎤 *Live Performance:* *BARNABA & DJ ALLY B* – watatupiga classic hits na kukurudisha kwenye vibes zile tamu tulizokulia nazo! 🗓️ *Tarehe:* Jumamosi, *04 Oktoba 2025* 📍 *Location:* Zak’s Bay – Boko Magenge, Mashati Plaza ⏰ *Kuanzia mida ya jioni hadi Baadae sana!* 🍢 Chakula kizuri 🍻 Vinywaji vya baridi 🎶 Muziki wa kukata na shoka 💃 Vibe ya classic, watu wa classic! Usikose! Va vizuri, kuja mapema, twende zetu zak’s bay! #TheClassicExperience #ZaksBayLifestyle #LiveMusic #BongoFlavaClassic #BarnabaLive #DJAllyB