@babyaikenya: Foreman🔥🔥😂#fyp #viraltiktok #fictional #ai #veo3 #nairobigossipclub #nairobitiktokers🇰🇪 #kenyantiktok #kenyancomedy #pastornganga #mjengochronicles

AI COMICS KE
AI COMICS KE
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 01 October 2025 07:20:27 GMT
4510881
215063
2723
27088

Music

Download

Comments

user5078501901230
dogoh peter :
mm kuna mwingine aliskia nikinyamba.akaniuliza kijana unataka tuanze na choo
2025-10-01 17:13:44
1191
risnahmish.natalie
Risnahmish Natalie🥵🦋✨ :
Nani anawatch akiwa bed tukuwe marafiki
2025-10-02 07:45:05
1284
misslavy5
c❣️h❣️e❣️b❣️e❣️t💃 :
guys Life without God is useless
2025-10-02 13:27:57
470
mac_remy8
🧑🏽‍🍳CHEF🍽MAC🥘REMY🧑🏽‍🍳 :
huyu foreman ni mafi sana🤣🤣🤣ananikumbusha mwingne alikua anaitwa kamalisa siku ya kwnza site(mjengo) nilianguka na mchanga ikiwa kwa wheelbarrow akaniambia haimwagwi hapo ni pale mbele 😂😂😂😂hadi wa leo cjai heal
2025-10-01 18:15:49
286
rispah.anupi8
Mamake 4💞💞 :
Nani anawatch 2 October naomba tuwe marafiki
2025-10-02 03:53:12
2744
wananiduuff
@wanani :
Kuna mkisii ataona hii ni ukweli
2025-10-02 17:57:28
57
osiemo_wycliff
The_Street_Prophet :
Me niliwahi fanya mjengo hapo Westy nowadays Moven Pick, nikagongwa na Cabro nikaanza kubleed. Foreman akaniambia Kijana masaa ya painting bado 😭😭😭
2025-10-02 06:28:36
82
costance737559887
usermercy nonoh :
🤣🤣🤣🤣10/10
2025-10-01 12:31:04
9
annette.okerosi
Annette Okerosi :
kwani foreman hujapenda hiyo speed otieno ameshuka nayo🥰
2025-10-01 16:39:47
154
reuben.gwan
Otieno. :
Leo nilikuja nimejipanga.
2025-10-01 08:41:26
867
manu327946
LØÑ LËÊ :
hakuna foreman anaenda binguni
2025-10-01 11:10:18
3404
philipkakai3
𝐏𝐡𝐢𝐥𝐢𝐩 𝐊𝐚𝐤𝐚𝐢 🇰🇪💙 :
𝐎𝐭𝐢𝐞𝐧𝐨 𝐡𝐚𝐭𝐚 𝐀𝐭𝐮𝐦𝐢𝐞 𝐩𝐚𝐫𝐚𝐜𝐡𝐮𝐭𝐞 𝐤𝐮𝐫𝐚𝐡𝐢𝐬𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐤𝐚𝐳𝐢....𝐦𝐬𝐡𝐚𝐡𝐚𝐫𝐚 𝐧𝐢 𝐦𝐩𝐚𝐤𝐚 𝐬𝐚𝐭𝐮𝐫𝐝𝐚𝐲 𝐭𝐮🤣🤣
2025-10-01 09:07:25
128
user5282104059481
@jacksonkitamwes :
vitu za ufala kaa hizi hazinibambi
2025-10-06 06:04:28
0
yhommie0
young hommie254 :
nilianguka kutoka 3rd floor alafu kufika chini foreman ananiuliza ati nimepata ni metre ngapi🤦🤦
2025-10-01 18:04:02
106
otilestephen
maka flower &vero :
was "otieno" necessary
2025-10-05 22:09:22
2
samuelmurunga712
BÕY WÅ ÜBÂBEÑI :
Napenda speed otieno analeta nayo simiti😂
2025-10-01 12:23:20
433
ummuhabdul
Laura✨ :
Otieno analeta madoido kwa kazi😭😭
2025-10-01 11:07:25
328
yvetteakoth
Yvette Nicole :
foreman ,conductor na nurses eiiiiii 🤦😂😂😂😂Hawa heaven Yao ni view once
2025-10-01 13:01:25
36
shiru_roba
shiru roba :
Ninani amewatch 5 October after kutoka church J.C.M pita na like
2025-10-05 13:10:21
7
brendamakena7
makena 🌞 :
alafu otieno usijaribu kuleta pesa haitoshi nyumbani😂😂😂😂
2025-10-01 17:36:40
178
shiromantic0
Shiromantic1 :
10/10 😍
2025-10-01 12:13:21
4
onyango.magara
Onyango Magara :
bana weka tu download
2025-10-04 18:28:26
0
hamisibongo795
▪︎hance▪︎ :
mi nilikatwa na bati nikableed akaniuliza,umeamua red is the best colour before mwenye nyumba kuchagua😏
2025-10-02 14:04:49
21
i.am.not.ace
_ace :
nilidungwa na msumari site huyo foreman akasema ati naiba nails nisikuje kesho😭😭
2025-10-01 13:58:36
178
jayvan700
min jayvan🧑‍🍼 :
😅😂😂😂😂🤣🤣nimecheka mpk nimejipta nimekunywa mkojo nkidhani ni strong tea
2025-10-02 09:48:51
1
To see more videos from user @babyaikenya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About