@halmasyrue: Lola wants everything to happen today..Lola wants to start her period:The obinnaz #theobinnaz #kenya #man #parenting #girls

Halmasyrue
Halmasyrue
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 01 October 2025 17:48:05 GMT
211142
9641
196
80

Music

Download

Comments

lebron.james9290
LeBron James :
lakini pesa ni nzuri oh ,yani mnalala na sandals kwa kiti 😊😊 ah
2025-10-01 18:16:38
87
josephlengete20
kilelu ❤️❤️099🇰🇪 :
mnasumbua mwenye nyumba akipumzika kwa kochi
2025-10-01 23:48:34
58
user5814450079177
chief ✨️ :
pia mm nishaa umisha 🤣🤣🤣🤣
2025-10-11 08:07:25
0
_lifestyle232
_lifestyle23 :
huyu msichana na nguo hawapatani
2025-10-02 07:44:52
88
user2909443744402
Toto :
eti Adah ako how old
2025-10-01 19:13:46
21
user6840170213217
smiling machane :
huyu kijana anajioneanga mambo
2025-10-02 03:58:03
81
blessingyvonne1
Yvonne Blessing :
Mimi nilianza periods class 3 na Nine years 😭😭😭It was not easy
2025-10-03 08:27:16
9
nancie8522
nancie :
mwenye nyumba kajilaza kwenye kochi 😂😂😂
2025-10-01 20:50:01
56
selexbrown1
selexbrown1 :
nani uyo akona viatu kwa kiti😂
2025-10-02 05:08:53
9
judymoraa6
omobeb :
kuna mtoto kwa hii nyumba ako na allergic to clothes aki🤣
2025-10-03 14:14:18
10
1chemuu
chemuu :
inaitwa sikolokolo😂😂😂
2025-10-01 20:49:51
11
tei_cy
🦋Trizah🦋🧿🧋 :
alafu kuna mm nasema heri hakungekuwaga n hii kitu inaitwa period...I do cry every month 😂😂😂😂😭😭
2025-10-01 21:26:50
14
verohj524
@verohj :
wenye mliumisha tadpoles nyonyo zikue kubwa mkono ju🤚😂
2025-10-03 12:45:44
14
sweetpie0405
sweetpie :
obina thank you so much unafunza wanao vizuri sana💕💕
2025-10-01 18:04:17
21
jane.thamu
Jane Thamu :
20/20 kujeni
2025-10-03 15:30:38
0
stevesagwa
@sagwa S :
boss mwenye familia katulia kwa kiti na sandles😁😁😁
2025-10-02 06:45:08
9
mariammwadiga
mama mohamed :
vile adaa amelezea alijulia wapi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-10-03 17:05:55
0
aumaliz_valarie
vee🦋 :
Kwani watoto wa sahii wanaingia puberty mapema aje 11 yrs mtu ananyesha ,Mimi nilianza kunyesha na 15yrs
2025-10-02 06:54:48
17
mamataliadylan
@kerubodoreen :
Lola uko na mbio ya wapi sasa
2025-10-04 04:01:12
0
user93980019
mercyberyl :
mwenye nyumba ametulia na sandals kwa Couch🤣eiiii
2025-10-04 18:11:12
7
irungu65
Maggie njeri irungu :
nani ako na viatu kwa kiti
2025-10-02 15:02:25
0
flora_wella
flora_wella :
was about to ask the same
2025-10-05 18:23:09
0
mary.kitoto
Mary Kitoto :
mimi ni huyo wa kwenda kwa mto matiti c ilikaa bila kukuja😂😂😂
2025-10-03 10:11:18
0
emilymola
mamaT :
Lola anapeleka syllabus kama kasongo v8
2025-10-05 18:21:10
0
seraphinealubala
Seraphine Alubala :
siii mimi...mimi sijui
2025-10-03 19:34:47
0
To see more videos from user @halmasyrue, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About