@twahamwaipaya: Hali ilivyokuwa usiku katika kituo cha Mwendokasi Gerezani. Polisi wanapiga risasi raia wanaimba tuueni, tuueni, tuueni 🎵 🎶 🎵 🎶. Hii hali sio nzuri hata kidogo.
tunaosema October hatutiki ❌ na hatuogopi NYWINYWI wala NYWINYWINYWI lake zetu hapa
2025-10-02 06:47:00
2054
tipha 25 :
tusio tiki leo popote kujeni apa 😁
2025-10-29 03:25:15
122
KRISS BROWN TZ :
Unae soma hii comment MUNGU akulinde 🙏🏻 🙏🏻
2025-10-28 20:46:53
161
mona🦋💕 :
tunaoangalia bado tupo kitandan tujuane😅
2025-10-29 05:32:14
19
Nasra Nyenza :
tuliokuwepo huku wote ni nguvu ya VPN🤣🤣🤣🤣
2025-10-28 20:05:55
123
Mkush ob :
safi sana jinsi upepo unavyozidi kupuliza ndivyo mkundu wa kuku unavozidi kuonekaka🤣🤣🤣🤣🤣
2025-10-02 04:24:14
2714
Debora :
iv me niulize hii hali ni ya usiku huu au
2025-10-28 20:43:49
34
dullah fashion ☑️ :
Punde si punde likatokea la kutokea 😂😂
2025-10-29 04:06:19
9
CIC🧸🖇️ :
Sasa wanaharibu miundombinu alaf asubuh watakaa wap, watabebwa na nani, Vitu vingine tunahitaji elimu zaidi kuliko kufuata mkumbo wanaona kama ndo mafanikio lakini wanajitia hasara wenyewe na mwisho wa cku wanasababisha anguko kubwa la kiuchumi, Kodi zenyewe watu wanazikimbia yoteyote tuache story za vijiweni ndo zinazoleta matatizo Watanzania amkeni msome vitabu vinavyohusu siasa na Maendeleo
2025-10-02 08:31:56
286
Riah♐🧸💙 :
Nyieee kulala kidogooo mmetuachaaa😭😭❤
2025-10-27 20:49:59
163
Isaac Jesus :
HII NDIO TASWIRA YA CHADEMA, CHAMA CHA KUHAMASISHA FUJO NA MATUSI, NA HAPO NDIPO MNAPO FELI!
2025-10-02 05:43:46
65
Baraka✅ :
Mnasemaga Dar hakuna wanaume na Hawa akina nani??????
2025-10-02 05:39:24
297
Mkuru Genzi :
maandamano kwa kiswahili ni funny, hatukufwati hatukufwati..ama ni tukutaki tukutaki😅😅😅
2025-10-29 06:53:23
2
luoga luoga :
ccm mnashindwa hata kusimamia kile kizuri Magufuli alichotuachia mkakiboresha zaidi
2025-10-02 04:41:04
1086
Sabmomo🦋🌹 :
Tunaoangalia jumanne usiku jumatano uchaguzi tujuane hapa
2025-10-28 18:09:51
314
pelina :
@pelina: MNIFILE MPKA NINYE😳
2025-10-28 00:32:17
7
Ansbert Kazunguru :
IYO COMMENT UNAYOITAFUTA NJOO UANDIKE WEWE
2025-10-28 23:48:48
10
🦒Miss Eve🦋🧿 :
Msiwe wachoyo wa risasi ukipogwa rudi nyuma na wenzio wapate
2025-10-02 15:00:50
94
dorice1baby0 :
wanao angalia j3 usiku wakiwa kitandani simu iko chaji wakowapo😁
2025-10-27 21:14:53
132
Hilda🥰🥰 :
SASA NYIE PIMBI SI MLIKUBALIANA TAREHE 29 MBONA MUKO MBELE YA MUDA😆😆😆😆
2025-10-02 13:49:42
188
KipetE :
Picha za tarehe 29 zimeanza kuvuja
2025-10-02 05:01:32
645
jack$w :
duuu bila VPN hutoboi
2025-10-28 20:24:41
34
🦋🦋 bint hangida❤️ :
jmn kulal kdg t mshaniacha😭😭
2025-10-28 20:52:36
10
To see more videos from user @twahamwaipaya, please go to the Tikwm
homepage.