@tumiaakilii: Madhara makubwa ya ngono ambayo hayasemwi 🤔🤔 1. #ElimikaWikiendi 2. #FahamuZaidi 3. #TumiaAkili 4. #SwahiliInspiration 5. #Tanzania

Tumia Akili
Tumia Akili
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 02 October 2025 07:24:42 GMT
183546
4767
173
1047

Music

Download

Comments

somba1899
somba1899 :
hio kwenye sayansi ya kiislamu ilizungumziwa mapema sana na kuwekwa sheria kwa mwanamke aliefiwa na mume ama kuachika basi anatakiwa kuaa eda kwa siku 90 baada ya kupata hedhi mara 3 atakua safi kutokana na mbegu za mwanaume wa awali hapo ndio anaruhusiwa kuolewa na mwanaume mwengine
2025-10-02 11:12:27
69
charlesjr_09
©️Charles♍ :
Mtoto mmoja wa Vannesa mdee anafanana na jux
2025-10-02 11:41:44
44
user3695621616541
Dady'sfirdaus :
fact zinaa ni uchafu mkubwa sana
2025-10-02 16:10:57
5
delamelah
SON OF GOD :
labda kiroho,lakini genetically nakataa
2025-10-03 20:38:52
3
user8138129474797
Joseph John. :
Siyo kweli kwani inayo tungisha mimba ni Mbegu za X au Mtu wake na huyo Mwanamke?
2025-10-04 07:59:46
0
user300412455382
salivius nyamuhabingi :
ngoja nimuulize CHATgpt
2025-10-02 19:13:36
6
nuruh1081
nuruh :
hii kitaalam inaitwaje😂😂😂
2025-10-02 10:12:51
2
bengeorgedarcavan
Benson :
ndiomaana mi natafuta bikra ndio niowe bila hivo siowi
2025-10-03 04:47:48
0
user2529945677494
phication the boss lady :
Mmmhh hii mpya😳 wanaoshangaa kama mm ungatela kwa like
2025-10-02 09:19:33
24
djferuuh
Dj Feruuh international Dj :
Kuna rafiki yangu mmoja namstiri tu ila nataman nimtag namfikiria sana sio vinasaba namuona km ana manasaba mana mashemeji ninaotambulishwa wanajaa uwanja wa mkapa 😂😂😂😂
2025-10-02 21:44:14
4
user5734817285732
source :
unapofanya zonaa unapata negative energy inaanza kuvuta vitu vyote negative vinaanza kukutokea kama kupoteza pesa kwa kuhonga,hofu,woga,kukosa kujiamini na kupata magonjwa ya zinaa na ukimwi.
2025-10-02 15:37:32
3
hamissplatnum4
Hamissi platnum :
na ukimwanga nje 😁
2025-10-02 10:13:30
4
suzyamaniel
SUZY AMANIEL :
Huyu sio doctor wa kujitolea kweli😆😆
2025-10-03 13:07:10
1
josephherman29
Joseph kleofas :
we akili zako zinawaza ngono tuu😂😂
2025-10-02 16:15:48
1
mustaphaa.bay0163
Mustafeyni-TV :
Tanzania 🇹🇿 Hakuna DNA maana unaona au BAsi😂😂
2025-10-04 05:05:33
0
dj.msix
dj msix :
Naungana na wewe katika hili🫡🫡
2025-10-04 12:07:19
0
geofrelusato
GEOFREY :
hapa hakuna KAZI facts haipo
2025-10-03 12:24:31
2
naahnancy24
Nancy ⭐💙💫 :
wee
2025-10-02 08:41:09
3
user3844284733008
father jr 45666666666666555544 :
kweli
2025-10-04 10:04:25
0
isabellahuba
isabella huba :
ni kweli kabisa, mtoto wa Vanesa kafanana na Jux
2025-10-04 11:36:36
0
geoge217
@geoge town :
kweli kabisa kaka angu 🥰
2025-10-04 09:17:57
0
samkiddin1
Sam Kiddin :
Nakubaliana na wewe kwa point hii kama gens za mwanaume wa mwisho zitashindwa kuwa dominant baada ya collusion ndani ya uzazi basiza wakabla zinaingia
2025-10-04 08:20:25
0
reghan872
Reghan :
usitushaur unatuchanganya 😂😂😂
2025-10-04 11:19:30
0
mrs.k102
Mrs k :
Eeee... Eeeeeh! we kaka unataka watu waachwee😂😂
2025-10-02 13:15:28
1
adelove583
adelove583 :
makubwaaaa😂
2025-10-04 07:32:37
0
To see more videos from user @tumiaakilii, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About