@dailyfacts75: #dailyfacts #mwanaume #mahusiano#tiktoktanzania🇹🇿 #fypシ゚

dailyfacts
dailyfacts
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 02 October 2025 17:18:05 GMT
267097
14890
664
2912

Music

Download

Comments

salhamy2
Farah :
Sikuhizi wanaume wanatuomba hela na kutueleza shida za nyumbani kwao 🙌🙌🙌 ngoja nikae na uchiwangu km utaoza sauwaaa lkn helayangu noooow
2025-10-03 04:47:11
230
kellyjaykaaya
kellyjaykaaya :
wanaume wasio na ela wanapita hii post kama wanaaga maiti
2025-10-03 12:10:08
37
lunar_de_shine
d3_lun@r💞🍫 :
direct to status shwaaah😂liwalo na liwee😏😂
2025-10-05 09:42:03
0
user5067073353819
princess :
jamani mbona wanaume wanaonewa sana kwan wao hawafai kuhudumiwa au kupewa zawadi kwan wao wanaziokota .nawao jaman wanazipata kwa tabu
2025-10-03 08:12:24
3
user7922076615200
Only Jema :
Mm kuna mwanaume kila siku ananambia hajala mchana
2025-10-03 07:02:03
92
berryna_fashionister
NINO_BOUTIQUE STORE🇨🇳🌍 :
true
2025-10-04 14:18:30
0
madynai7
madynai :
huyu kaka Sanam lake ajengewe wapi vile?😘👌
2025-10-03 07:58:22
19
bosslady2555
Boss Lady :
Natamani kumtumia ila ataona namsimanga 🤣
2025-10-03 07:04:27
9
missbupilipli
happy Edward :
hiiiii imeenda kabsaa shwaaaa liwalo naliwe stauts inahus😅😅😅😅😅
2025-10-05 08:03:33
0
thinker.54
Thinker Queen :
Sikumbuki mwaka niliopewa ela ya kusuka😂😂😂😂😂
2025-10-03 10:59:27
17
official_cknny_22
cknny😘 :
Naeka status nikiachwa bas😁itakuwa kaamua
2025-10-03 08:41:34
60
skyberna8
🤎Skyberna🌻 :
Skuiz wanasema bby do that for me please 😂😂😂
2025-10-03 00:30:44
29
user8333340113152
mshubi :
mm wakwangu akiniona na kitu ambacho hajaninunulia au sijamuomba pesa ninunue tunagombana maswali yanakuwa mengi
2025-10-03 05:34:12
6
twinkle_de_star
🥀Twinkle _de_ star ★🦋🥀 :
niliomba Mungu anipe kama uyo hatimae kanipa ulezi😂😂😂
2025-10-04 20:50:40
0
badija.mushi
bAdija Mushi :
bola kuwa singo
2025-10-03 06:14:33
5
hanskillo
Hans Killo :
potelea mbali kikubwa kitobo napata
2025-10-03 04:09:09
1
kbz.umoja
KB'z umoja :
true
2025-10-05 11:07:31
0
dodos912
dodos912 :
Mwanaume anaetaka kuolewa aje chap chap 🤣🤣
2025-10-05 09:38:17
0
nassor.nassor1
Nassor Nassor :
sio lazima kupendeze ajee hivyo hivyo tuu😂😂😂😂😂 kama nilivyo muona mwazo
2025-10-04 05:20:32
7
nana_love758
🦋🌹 :
Am proud of my man jamani kila kitu changu kwanzia juu mpaka chini is my man ,wherever u are Phin wangu
2025-10-03 13:34:32
0
sweet.manka92
sweet manka :
🤣 pochi nene ndio mpangoo🥰
2025-10-03 19:33:54
0
aishahussein1234
Aisha Hussein@bb :
wanaume wachache wenye akili kama zako.
2025-10-03 05:49:02
9
mwilongo88
TheQueenOfIce🫅🏾 :
Semeni suu! Nii repost 😂
2025-10-04 05:45:09
3
zaudatymressa24
Zaudaty mressa :
Ningeweka status ila nimegairi😁
2025-10-05 07:17:41
0
vpesa5
V&pesa :
Hawajiongezagi 😂😂😂
2025-10-03 04:36:52
8
To see more videos from user @dailyfacts75, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About