@mbelachampion_1: #mayele #jesusmoloko #tanzaniantiktok🇹🇿 #congolaise🇨🇩

mbelachampion_1
mbelachampion_1
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 02 October 2025 20:01:01 GMT
729060
28072
1216
692

Music

Download

Comments

muyisa.kambale2
Muyisa Kambale :
moloko c'est un citoyen rwandais pas congolais monsieur
2025-10-03 10:49:04
1
zillyboy255
zilly :
sio aibu maisha yanageuka kaka muombe mungu yasigeuke kwako
2025-10-03 07:05:18
76
josealyy6
Jose Alyy :
Acha umbeya mtoto wakiume tukupake mafuta
2025-10-04 20:16:25
0
razesdragon
𝗥𝗔𝗭𝗘𝗦_𝗗𝗥𝗔𝗚𝗢𝗡🇨🇩🧢 :
we matako sio wa Congo 🇨🇩 wote ambao wana matumizi mabaya ya fedha 🙄🙄
2025-10-03 21:56:45
5
ally1516
Alphonce :
nan kamwona kagere
2025-10-02 20:10:37
389
nicolau145
NicoMukoji :
Una uhakika alikua analipwa vizuri yanga? Au unatabiri tu?
2025-10-03 04:39:41
87
hbmzain
حربذىن :
mambo mengine wacha ya kupite sio ya kusema ovoooo
2025-10-03 04:29:50
3
david_sospeter
Baby daddy :
Ningekuwa mm hata hiyo hela nisingeichukua I know who I am sipendi dharau unaweza mfata mtu kiuungwana tu kama mwana mnafahamiana mmefanya kazi pamoja mmetoka taifa moja mmeishi pamoja ukaamua kushow love bila kujali status aliyonayo kwa wema tu halafu mtu anakuchoresha hivi siamini kama moloko kafuria kiasi hicho hadi amgande mayele nachoamini kila kitu alifanya kwa love ila mambo yamembadilikia nenda insta kwenye page yake utaelewa kafuria au ilikuwa ni love
2025-10-02 21:34:34
48
john.galdollard3
John Galdollard :
wa congo wenye pesa nyingi weko wachezaji wengi
2025-10-04 19:35:55
0
user984922477745
Fiziano 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 :
ume nikwaza kusema wakongo Wana matumizi mabovu ya pesa maana tabia ya kutumia pesa vibaya niya mtu binafsi kwani wewe aujawai kuomba kitu chochote ?
2025-10-02 21:04:53
8
manizob
manizo B :
na kagele umemuona
2025-10-03 10:25:09
2
zuuhnasry
zuuhnasry :
ni suala la muda tu bado zimbwe kuja kumuomba kapombe uwanjan😂
2025-10-04 04:34:16
2
quav8080
QUAV☠️☠️ :
Toa mdom wako hapo iv wew jamaa hunaga kazi had hushind unawaongelea wanaum wenzako Yan mwanaum mwenzako unasem kafulia dah hii dunia
2025-10-02 20:28:41
4
gloireupite
gloireupite :
Labda ni aibu kwenu nyinyi wa Tz,ila kwetu congo ni jambo ka kiugwana. Tunajuwa kusapotiana kipindi mwenzio yuko chini
2025-10-02 20:57:20
10
judichael3
Jl Michael :
Awa lingala ekotaka te !???🤣🤣🤣🤣
2025-10-03 06:08:00
2
frolarolah
rolah 📍♥️ :
mwanaum mzim ila umbea sasa puuuuuuuuuiuu
2025-10-03 07:53:26
1
dogoelisha266
Dogo Elisha wizzy boy :
maishatu broo kunakupanda nakushuka na binaadam kawaida kusaidizana alafu mbona unadamuya kunguni kiramtu nikitazama comments zaonimatusi kwanini irausichoke kuturetea vituvipya kutukanwa kawaida respect broo🫡🫡🫡🫡
2025-10-02 20:50:34
1
mama.halima63
Mama Halima :
acha unafki kaomba jezi
2025-10-02 20:53:28
8
b4offial
user7333403349276 :
na tombwa ww
2025-10-04 18:38:13
1
user9772052518238
Jonas :
kwa iyo wewe auwezi kuishiwa
2025-10-04 13:44:04
1
jay.kitanta
Jay Kitanta :
wangap mmemuon kagere
2025-10-02 21:38:47
52
abasimarikokabush
[email protected] :
we nae umbeyatu unakusumbua
2025-10-04 17:42:34
1
mkaliwao073
mkali wao :
we umejuaj kama anaomb ela
2025-10-02 20:05:52
12
stevewalker.1
💲💎$TËV£💎💲 :
dah inauma kinoma Yan Kawa kama vile mtu wa mtaani tuu dah🤔🧐🧐🧐
2025-10-02 20:07:42
77
pellenera1
pelle nera$$ :
Sasa ndo umzalilishe
2025-10-04 18:40:18
1
To see more videos from user @mbelachampion_1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About