@frequeline: Kwa Samaki📍... A location in Sagana, Kenya, known for its various restaurants that serve fresh fish😁😁 #roadtrip #travel #nature #adventure #travelphotography

ʀᴏᴀᴅ ᴛʀɪᴘᴘᴇʀ™
ʀᴏᴀᴅ ᴛʀɪᴘᴘᴇʀ™
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 02 October 2025 20:32:19 GMT
89022
3093
40
81

Music

Download

Comments

www.alekiiwaspareparts
Alekii wa spare parts :
uyo wa nv200 kwani anaenda wapi si angetoka jana😂😂😂😂🤔
2025-10-03 12:52:30
28
simondebull007
@sheriffdeprince :
2 yrs I almost died on this spot...trailer hit and run leaving me with my friend with thigh fracture..God naye alwa n ss
2025-10-03 14:33:45
6
ss014148
Ss :
hii Ni barabara ya watu Wa opposition..za watu Wa serikali bado Ni moja moja tu wanabishana Na ma lorry😂
2025-10-03 15:52:04
9
123.shee
Star Bwoy ⭐ :
NV 200 isingekua hizo bumps Na hiyo lorry hamungemuona kabisa 😂😂💀
2025-10-03 19:54:35
9
lafinest360
Dfinest360 :
Murima is home🥰🥰🥰
2025-10-03 17:40:40
1
user128889348
Dan :
why the lorry driver is driving on inner lane
2025-10-03 20:42:48
1
j_qiviah
Jay :
Nv200 amefuell V power sindio
2025-10-03 20:03:39
1
sonelijah01
@drElijah :
hapa n pale kalibu na mto wa sagana. along kenol - marua road. but hio speed 🚄🚄🚄
2025-10-04 05:24:50
0
mwangibrianmwangi
@m̥ͦw̥ͦḁͦn̥ͦg̥ͦi̥ͦ🇨🇦. :
views lit✨✨✨
2025-10-03 12:43:12
2
paat_254
Paat :
ungepandia hako kabarabara ka Rami kuenda kwetu🤣🤣
2025-10-04 04:55:12
0
brayo_wale
Brian Wale :
nostalgic... that's my home area
2025-10-03 19:37:43
0
dalius33
🫱An🇰🇪n 🫲🌹🌹 :
🤣🤣kwan nilitoka home mapama aje ebu next nione hpo makutano ama nikirudi home nitapotea🤣
2025-10-03 20:51:45
0
nducheznduchez
nducheznduchez :
you make me miss this place
2025-10-03 17:12:51
0
999uniqshop
999UniqShop :
karibu nikukanyangie brakes usigonge huyo wa NV200🤣🤣
2025-10-03 17:30:28
3
mnyaks4
MNYAKS😎 :
umepata lorry imepata accident kwa bridge apo mbele😁
2025-10-03 21:06:50
0
ablufitflexxing
Fit In 神速 :
Izo bumps za apo ha muthike sikujuanga zimeekwa,,, nlikanyaga brake nkaskia brakepads zimetoa kaharufu flani tukapause kwanza gari itulie 😂😂
2025-10-03 15:46:49
5
sarahmaina308
Sarafina. :
My home route
2025-10-03 22:15:11
0
alice.watiri2
Alice watiri :
huyo anakibia alienda wpi sasa kama alikua na halaka si agetoka juzi
2025-10-03 17:48:39
1
johnwaria
johnmwass :
kambiti sagana motivation
2025-10-03 15:37:14
3
bancy.maina
barnice :
Umefanya nimiss home.
2025-10-03 17:28:25
0
milele.moyoni
Milele Moyoni Online Memorial :
hizi ndio barabara za watu wa opposition, whereas watu wa gavment bado mambo ni one-lane!!! sisemi kitu
2025-10-03 20:44:04
1
kabuja65
@kabuja :
Kwani huyu wa Navara anaenda sayuni
2025-10-03 18:30:47
2
josphatmwaura4
josphat mwaura786 :
goosebumps 😆😆😆
2025-10-03 14:02:54
1
jamesmaina685
jaymo :
huyo wa Nissan anasonga weuh
2025-10-03 14:44:17
1
ruku38707
ruku :
mahewa niya kagio
2025-10-03 20:17:28
0
To see more videos from user @frequeline, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About