@laughs_on_leonardo: NAMNA GANI PALE😂😂😂😂😂😂😂 @dstvtanzania OKTOBA HII, SHAVU LIMENONA🔥 📺 Jiandae kushuhudia magoli, ushindi, na drama za uwanjani kila wiki!🔥 Kutoka ligi hadi ligi, ni moto wa burudani! ⚽ Ligi ya Mabingwa Ulaya ⚽ EPL ⚽ LaLiga ⚽ Serie A ⚽ Europa & Conference League …na nyingine kibao! DStv tunakupa burudani kuanzia mtonyo wa buku 11,500 tu 🥘 kwa sababu kila mtu anastahili kufurahia soka la kimataifa. 👉 Usikubali kuhadithiwa! Piga *150*53# kulipia kifurushi chako mapema. #mbungibampa2bampa #itsonsupersport #dstvtanzania Cc: @_lu.ivan @geenecious @jaykiporo 🎥: @panthertz1 @sixndale Edits: @jaykiporo
Leonard Butindi
Region: TZ
Friday 03 October 2025 09:59:50 GMT
Music
Download
Comments
Basalee :
kwan hii POV maana yake nn
2025-10-03 11:03:18
68
rogath alphonce million :
naomba saport
2025-10-14 14:23:18
0
Erico :
😂😂😂 Hatar sana nakukubal mwanangu
2025-10-03 10:03:58
58
Mr burudan :
mwamba uko vzr natamani sana kua kama ww ila sijui naanzaje
2025-10-03 10:57:16
14
Brite One :
shamba la bibi 🤣🤣🤣
2025-10-03 10:34:45
1
Sylivester Marco :
leo utaniuwa na kucheka
2025-10-14 06:55:35
0
Rukxan98 :
Mbona kama yupo kukagua sms za mchepuko wako na sio kuandika namba 😁😁😁
2025-10-05 18:42:22
3
everything 🏖️ :
lango la chini😂😂
2025-10-03 10:05:56
2
Zę clevér Jr☆ :
content creator huyoo @Butindi🤍😂😂😂😂🤣😅🙌
2025-10-03 10:12:53
18
officialrider_💦 :
dah qmmk we msenge unajua 😁
2025-10-03 10:49:46
5
@AceNesOfficial :
unaelekeza mashambulizi wapi😂😂
2025-10-03 10:38:45
5
Katope boy 😎 :
style 🤣
2025-10-03 10:09:05
4
Ba buthaina :
leon ni miyeyusho sana hiv unawazaga nini mshikaj
2025-10-03 10:27:37
3
Ellab Lamek :
nakubal sana
2025-10-03 10:05:54
4
Meshack paul :
nikielekeza mashambuliz yangu kwenye lango lako kut0ka upande wa chini😂😂
2025-10-03 10:53:11
3
mova musictz :
wa like 10/10 anza namalizia
2025-10-03 22:38:15
8
Wakishua :
anakataa pale😂😂😂 naongeza mambo nyingine
2025-10-03 10:37:10
16
MISANA :
goooool🤣🤣🤣
2025-10-03 10:18:35
2
Echo Call🫵 :
kama simu sio yake mbn alikuwa anaweka finger🤣🤣🤣🤣
2025-10-03 10:22:52
10
Azlan Junior :
😁😁😁msenge anjua uyuu
2025-10-03 10:48:39
2
Pemberton :
ila butindi😂😂😂😂😂
2025-10-03 10:04:14
3
dulzoflex :
Ila we jamaa 😂
2025-10-03 10:07:52
2
Mzambuly :
Nataka tufanye madhambi pale elewa neno "Madhambi."
2025-10-03 11:01:57
2
Kidd Drrexy :
tulioiona hii siku ya boyfriend's day tujuane🤣
2025-10-03 11:50:47
40
yasskhan :
ilah leonard
2025-10-03 11:00:24
2
To see more videos from user @laughs_on_leonardo, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.