@radio47_kenya: Ombeeni Billy Miya maana anazungumzia kifo sana😥😂😅 #BillyNaMbaruk #HapaNdipo

Radio 47
Radio 47
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 03 October 2025 15:21:53 GMT
39577
2210
40
31

Music

Download

Comments

gibitapaul
Roshan Eagle #brace :
unaongea kuhusu kufaa ,au Sai ukiwa hai bado unagongewa 🔥🔥
2025-10-03 15:27:03
3
user67534939759768
DADY ALI :
ila kichwa yako bro umefikiria nn
2025-10-03 17:56:31
3
sammymwanetu
MC Mwanetu official 🇹🇿 :
hata sikuhizi hatungoji mtu akufe
2025-10-04 19:10:53
0
user3518071224061
lamsy :
na ulijuaje ni wewe utatangulia bibi yako kukufa??
2025-10-04 17:40:07
0
nya.omurwa
Nyakundi Omurwa :
Bado anagongewa na hajui. 🤣🤣🤣🤣
2025-10-03 18:37:43
0
ibnramadhan
Shuaib :
kuna vinyangarika vingine wenye vichwa vyao vimejaa funza mpka leo 2025 wanaamini shetani ndiye anaye sababisha kifo
2025-10-04 15:04:31
0
kerush670
kerush :
umejuaje na mwenye atatangulia n yup
2025-10-04 13:10:32
0
naaman19953
TIGER254 :
wewe umejuaje kama bibi yako ndio atatangulia
2025-10-04 18:34:38
0
sewamalwa
Se-Wamalwa :
I'm just waiting......😂😂😂
2025-10-04 11:34:29
0
phe.li._
phe.li._ :
it's normal beibe😂😂😂
2025-10-03 19:01:20
0
savooteen
Savooteen :
Itatobolewa na si uongoo😅😅😅
2025-10-03 16:03:21
0
roos468
rose khavosi :
That's how my late husband used to talk nikikasirika anasema Ni jokes two years later he was no more .
2025-10-03 19:08:35
0
theonlyway912
Smiley. 🙈💫 :
Labda atakufa mbele yako.
2025-10-03 16:43:24
0
kingbite24
konde💪 :
hicho kiguu jamani😜😜😜.
2025-10-03 22:19:05
0
am.owen0
Am Owen :
mguu kama ya goliath😂😂
2025-10-04 02:29:51
0
ahmed.swale
Ahmed swaleh :
wengi awawezi muelewa uyu jamaa lkn waislam wote wanaelewa
2025-10-03 18:11:46
0
malulaf
🦀Malula🦀 :
Kwani mke lazima ufe? ha haaaa, hata ukiwa hai.
2025-10-04 06:08:51
0
kinubieric
Eric :
na wanao wanamuita huyo jamaa baba 😀😀 na mkeo atamlalamikia Mungu huyo mwanaume alikuwa wapi siku zote hzo🥺
2025-10-03 16:16:32
0
mr.torius
Mr Torius :
Kabisa brother
2025-10-04 12:50:29
0
paris_zieri
Paris_Zieri :
utagongewa ukitolewa mortuary 😂😂😂😂
2025-10-04 09:44:07
0
shaddiemutai
shaddiemutai :
Billy is right,"hapo kwa kila nafsi itaonja mauti"lakini bado wanaamini Issa hakufa
2025-10-03 16:46:53
0
uhunye22
uhunye :
mke wako akifa pia kuna jike litaenjoy wewe tu
2025-10-03 16:46:17
0
rickyfx977
Ricky fx :
kugongewa lazima 😂😂
2025-10-03 16:19:42
0
vidalisf
Ma twins :
what if mke afe wa kwanza🤣... hata hivyo yeye anaweza kuwa anaonja wa wenyewe huku nje🤣
2025-10-03 16:07:32
0
th.g.mmbsn.kd
👑MOHAMMAD 👑🇰🇪 :
swadakta 🙏
2025-10-03 17:32:33
0
To see more videos from user @radio47_kenya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About