@ramyramsey: Mgombea anaegombea udiwani kupitia Chama cha mapinduzi kata ya Makole Ndg. Omary Haji Omary ameendeleza kampeni za mtaa Kwa mtaa, nyumba Kwa nyumba akiwaelimisha wananchi umuhimu wa kujitokeza na kwenda kupiga kura ifikapo Oktoba, 29, 2025 na kuwachagua viongozi watakaoleta maendeleo Tanzania. Ndg. Omary Haji Omary alijikita zaidi kueleza yale yaliofanywa na Chama cha mapinduzi Kwa miaka mitano na kuwasisitiza wananchi kuona umuhimu wa uchaguzi na kuepukana na yale yote yanayochochea uchaguzi usifanyike na zaidi amewaomba wananchi kuwa na Imani na Chama cha mapinduzi katika kuleta maendeleo. #Ngasamedia

RAMYRAMSEY( MSHUA)
RAMYRAMSEY( MSHUA)
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 03 October 2025 19:08:59 GMT
86350
3016
1445
635

Music

Download

Comments

yonapambeje
Yona Pambeje 🦁 :
NIKAZI SANA KUMSHAURI MTU ANAE KARIBIA KUTAPELIWA 😂
2025-10-04 07:48:04
497
user84182044961745
Pasha :
Kuna mtu hacomment chochote anasoma tu comment za watu anyway habar za saiz mkuu
2025-10-04 12:28:05
177
user74400051310125
aloyce :
nataman nicomment lakn bas
2025-10-06 06:17:23
0
graysonsolomon
Genuine Soul :
Kadiri upepo unavyopepea ndivyo mkundu wa kuku unavyozidi kuonekana 😅
2025-10-04 08:01:45
154
chimamy.iffah
Shunuu💦🦋😘 :
😂😂si ata nyie mnaona mtu akiwa anakutongoza na akiwa ameshakupata😂😂💔
2025-10-04 11:37:12
77
mwasham28
mwasham :
Tutaona meng mwaka huu😂😂😂
2025-10-04 05:48:55
29
joe.kimaro1
joe :
wa 15/15
2025-10-04 16:38:24
2
rey.wa.rojah
Rey Wa Rojah :
hata za mkewe hajawai kufua ovyoo
2025-10-04 19:26:41
0
i.d.g.f.b.u
i.d.g.f.b.u :
angepewa mashuka yaliyotumika baada ya mtombano😁
2025-10-04 12:12:20
5
abdulkarimhussei11
Mr.plan :
Anafua huku anatukana akimaliza hapooo
2025-10-04 06:01:27
3
dumper207
Dampa Classic :
Ila ukiwa unaibiwa huwezi kuamini paka uibiwe je alikuwa anafanya hivo kabla yakutaka hicho kiti yani wajinga ndo waliwao
2025-10-04 09:19:38
34
nenga.furniture
NENGA FURNITURE :
Sinema zetu😂😂😂
2025-10-03 20:38:45
25
pablo56090
Pablo@56 :
mpaka kampen ishe tutaona mengi
2025-10-04 07:50:54
27
johnnymsong
Chacha :
Mngezinyea kwanza😡😡😡😡😡😡
2025-10-04 13:36:59
4
hallyjohnxon
️ :
10/10nalipa
2025-10-04 11:53:58
2
deogratiasclement
Deo Shigukulu :
Kwa sisi raia wa Tz tulikosea wapi😳😳😳
2025-10-04 13:45:27
0
sabokomaila78
BONGOFLEVA :
ngoja ashike kata ndo mtajua
2025-10-04 11:18:46
4
nevintemu
Nevintemu :
yaan mm naona kama ujinga Kwan akishayapata hayo madalaka atafua
2025-10-04 06:29:01
7
majiakunde
Majiakunde :
jichanganye uone hapo ni kura tu baada ya hapo urafki unaisha
2025-10-04 04:08:52
8
adoulable.girl8
adoulable girl :
Aje na kwangu Adeki chooo
2025-10-04 07:51:46
23
penny7242
kjk mtt w masharubu :
saivi yupo tayar kufanya chochote akipata tu anahama hammuoni tena
2025-10-04 03:08:16
9
ma.me.__
Mame🤎 :
Hizi mbwembwe jmn 😂😂 bc tu vitu vingin vinachekesh san
2025-10-04 16:13:26
5
lee43731
Lee :
wakishapata uongoz mnaanza kuwachungulia kwenye tinted😂
2025-10-04 15:13:33
1
user99962795496196
0622226968 :
ndo mnavowadanganya ngoja apate hayo madaraka mtafurah
2025-10-04 07:11:54
1
mamasamia.suluu.w
Mamasamia Suluu Wamanzese :
kwaiyo mtachaguwa viongozi madobi
2025-10-04 07:38:38
8
To see more videos from user @ramyramsey, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About